Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Hebu amka usingizini wewe low thinker. Kila mpinzani akihama basi kanunuliwa. Lijualikali na Katambi walishindwa ubunge? Au walikatwa na wajumbe. Sasa wajumbe wachache ndo unaweza ukaita watanzania?Bado mnaona project ya kununua wapinzani inalipa pamoja na majibu mliyopata kutoka kwa watanzania kwa kina lijuakali na katambi?????
Kweli CCM sikio la kufa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Hivi mtu gani mwenye akili timamu ataamia CCM??? Hao wananunuliwa na hata watoto wadogo wanajua!!!!Hebu amka usingizini wewe low thinker. Kila mpinzani akihama basi kanunuliwa. Lijualikali na Katambi walishindwa ubunge? Au walikatwa na wajumbe. Sasa wajumbe wachache ndo unaweza ukaita watanzania?
labda kama ni mshindi wa kunywa virobaHama hama ni ushamba na hauna maana yoyote, Lema ni mshindi Arusha.
Kwa hiyo wajumbe wachache waliompitisha mwenyekiti wenu kama mgombea pekee si Watanzania?Hebu amka usingizini wewe low thinker. Kila mpinzani akihama basi kanunuliwa. Lijualikali na Katambi walishindwa ubunge? Au walikatwa na wajumbe. Sasa wajumbe wachache ndo unaweza ukaita watanzania?
Jibu kwanza zile tuhuma zake zilizomfanya atimuliwe Ukuu wa Mkoa. Yaani Vingozi wake Wakuu Kitaifa wamkatae eti Wananchi wamkubali?? Amekwenda na maji na ataendelea kuisoma namba.NABIII TITO AFUNGASHE VIRAGO HARAKA SAANA, NA ARUDI KWAO MOSHI MAPEMA.
ARUSHA IMEPOTEZA HADHI YAKE YA ZAMANI, KISAA MTU MUMOJA TUU.
GAMBO TUNAKUOMBA UFUFUE ARUSHA YA ZAMANI IRUDI HARAKA SAANA, MAANA UBUNGE UMESHASHINDA MAPEMAAA.
mshaurini Lema asitumie kiinua mgongo kwa kampeni ili afanye mtaji, ubunge hapati.Hakuna kilio mahali popote
Na ushamba zaidi Ni kung'ang'ana na kitu, hata pale unapoona hakina manufaa yoyote.Hama hama ni ushamba na hauna maana yoyote, Lema ni mshindi Arusha.
Wewe huijui CCM, ndomaana unafikiria ndani ya box tu.Hilo swala liko nje ya upeo wako, hivyo hauwezi kuelewa chochote.Jibu kwanza zile tuhuma zake zilizomfanya atimuliwe Ukuu wa Mkoa. Yaani Vingozi wake Wakuu Kitaifa wamkatae eti Wananchi wamkubali?? Amekwenda na maji na ataendelea kuisoma namba.