Uchaguzi 2020 Kamarada Mrisho Gambo apeleka kilio CHADEMA

Hata Chadema wakipata madiwani na wabunge, mwendo ni uleule,kuunga mkono juhudi mwanzo mwisho.
 
pointi yangu kubwa ni unahitaji watu wengi iwezekanavyo! hautakiwi kubagua, haiwezekani unategemea kura za watu alafu useme pumba na mchele, wote ni wapiga kura pumba na mchele wote wanapiga kura
Pole lakini nilikuwa nina comment kuhusu hicho kimombo '........ whether way you will see it ........'
 
Alifukuzwa ukuu wa mkoa wa Arusha hawezi kupewa Jimbo la Arusha mjini. Alisimamia zoezi la kugilisika na kuibiwa fedha maduka ya kubadilisha fedha mjini Arusha. Statute kazi nyingine au akachunge mbuzi kwao.arusha Ina wenyewe
 
Tupe picha ya mikutano ya Gambo
 
Hivi mbona hamjifunzi enyi vilaza wa Lumumba? CHADEMA sio Mbowe, LIssu, Mnyika au hao wapuuzi mnaowanunua kila kukicha.. CHADEMA ni watu na Imani kama zilivyo imani nyingine! Nunueni hata Lissu CHADEMA bado itabaki kama ilivyo

Ndegeleki!
 
Hongera zao hawakuwa wa kwanza na hawatakuwa wa mwisho
 

Kama lengo ni kuwapata viongozi wa CHADEMA tu basi huo ni mkakati wa ovyo sana; wa kishamba; usio na manufaa yoyote. Hao ni watu wachache sana. Na ieleweke, CHADEMA imeshavuka hatma ya kudhibitiwa na mtu au kikundi cha watu. Hata leo hii Mwenyekiti akinunuliwa mtashangaa kuona CHADEMA inapeta na moto mkubwa zaidi. Kuna wakati ilitarajiwa Zitto baadaye Slaa wakiondolewa CHADEMA itakufa. Leo vijana wengi wanasimuliwa historia ya “wahenga” hao ndani ya CHADEMA na kubaki kushangaa tu.

CCM itafanya la maana sana ikiweza kuwashawishi wanachama na wafuasi wengi sana/wote wa CHADEMA wajiunge nao. Hili ndilo kundi kubwa la Watanzania lenye impact kwenye siasa za nchi hii. NA hapo ndipo penye changamoto lenyewe! - you know exactly what I mean.
 
Hapo, Magufuli mshampiga hela tayari. Kweli CCM sikio la kufa bado hamjifunzi chochote.
 
Kweli upumbavu na ukilaza ni kipaji,umetunukiwa.
Akiwa mwananchi zaidi ya mmoja hao si Watanzania?
Ili tuweze kuweka wingi wa Watanzania,inatakiwa tuwe na idadi gani ya wananchi?
 
Hivi mbona hamjifunzi enyi vilaza wa Lumumba? CHADEMA sio Mbowe, LIssu, Mnyika au hao wapuuzi mnaowanunua kila kukicha.. CHADEMA ni watu na Imani kama zilivyo imani nyingine! Nunueni hata Lissu CHADEMA bado itabaki kama ilivyo

Ndegeleki!
CHADEMA ni mateso moyoni si chama
 
soon hao walihamia CCM watapewa nafasi za uongozi na nyie mataga mtakuwa chini yao 🤣
 
Huyo gumbo ni mshamba, bado anaendelea na manunuzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…