Kamari ya kumtosa Lowassa na kumpitisha Makongoro

Benard ndo chaguo la mkuu coz ndo mtu pekee anaeweza kulinda maslahi ya familia ya mkwere lakini uhalisia hauziki. Inaelekea mkwere anajua juu ya uwezo mdogo wa Benadi Maembe ndo maana anasafiri hata safari zimhusuzo benadi hii yote ni kuficha udhaifu wake
 
Sitakuja kusahau mradi wa mapacha watatu (lowasa, kiwete na rostam) wa kuchichongea kampuni feki ya richmond ambayo haikuwa na fedha, ofisi, mitambo wala uzoefu. Kila siku walikuwa wanaikamua tanzania milioni 152. IMAGINE. Nasikia wasingeshitukiwa kwenye dili hii walikuwa mbioni kuunda kampuni km 20m feki ili kurudisha pesa walizokuwa wametumia wkt wa uchaguzi. Style ileile ealiyotumia kumuingiza kikwete wanataka kuitumia tena. ZILE KAMPUNI FEKI 20 AMBAZO ZILIFELI KUANZISHWA SASA ZITATUMIKA KUPORA UTAJIRI WA NCHI KM KWELI IKATOKEA lowasa jambazi sugu na fisadi papa akawa rais wa tz
 

Yeye mwenyewe Lowassa namshangaa mpaka leo hajakalia hiyo ndo na hajapelekwa mahakamani kwa undumakuwili wa CCM,,sasa Lowasa atapataje huo mshipa wa kuwaadabisha hao mafisadi???
Lowasa amekuwa ni msaliti namba moja..Kama yeye aliwajua wahujumu wa nchi kupitia Richmond na hakutaka kuwataja eti sababu ya kuwaokoa kundi dogo na kuwaacha kundi kubwa(Watanzania) liumie mpaka mda huu basi Lowasa ni msaliti namba moja
Na usaliti huu kauonyesha vilevile hivi kalibuni wakati wa mchakato wa kupata katiba mpya…Yeye kashiriki moja kwa moja kuwahujumu Watanzania waliotoa maoni yao juu ya katiba…hakuna hata siku moja alinyanyua mdomo wake kuitetea rasimu ya wananchi na kwa nguvu zote alishiriki kutunga katiba ya akina Sitta na Chenge..
Sasa mpaka hapa utanihakikishiaje kuwa Lowasa atapigania maslahi ya sisi wanyonge???
 
Kama ccm wana akili, kete yao pekee dhidi ya upinzani ni Lowasa. Tatizo ni woga wa viongozi kwamba huyu jamaa atawalipizia kisasi kwa yale waliyomtendea akiwa nje ya madaraka maana hawakujua kwamba angeendelea kuwa na nguvu hivi mpaka leo.

You must be kidding! EL kuwa rais wa nchi hii!!!
 
Amekuandaa wewe kisaikolojia, sio wananchi.
 
Makongoro akipitishwa mie mwenyewe naipigia CCM katika nafasi ya uraisi
 
By: ebaeban
[*]JohnKomba-na unafiki wako, kama Lulu Michael kakukomba mali zote usitegemee uibukiekatika kumpigia dabe fisadi Lowassa, kufa na lywako


Wewe noma, unatukana hadi marehemu. Atakusikiaje sasa.
 
JK jamani n dhaifu wa afya hadi fikra mnyika hakukosea . Mbona huyu jamaa EL anampeleka puta? ama kweli chaguo la shetani
Mkuu hivi na wewe kwa akili yako unaamini kuwa Lowasa anampeleka jk au ccm puta,? Haya maneno yanazungumzwa na watu waliopewa posho na lowassa ili kuwaaminisha watu kuwa huyu jamaa ndio chaguo la wananchi lakini ukweli ni kwamba ni rushwa anazotoa ndio zinawafanya waamini hivyo.
 
Kama ccm wana akili, kete yao pekee dhidi ya upinzani ni Lowasa. Tatizo ni woga wa viongozi kwamba huyu jamaa atawalipizia kisasi kwa yale waliyomtendea akiwa nje ya madaraka maana hawakujua kwamba angeendelea kuwa na nguvu hivi mpaka leo.

Promo at Work
 
Kwa hayo mawazo we'mwandishi kweli "mnduku kowa" au "maku zimbu"........unless useme umeandika ila unamaanisha vice versa.
 
Kama ccm wana akili, kete yao pekee dhidi ya upinzani ni Lowasa. Tatizo ni woga wa viongozi kwamba huyu jamaa atawalipizia kisasi kwa yale waliyomtendea akiwa nje ya madaraka maana hawakujua kwamba angeendelea kuwa na nguvu hivi mpaka leo.
Umepotoka mbali kabisa Lowasa siyo mgombea wenzake ni mafisadi tu hakuna mwananchi wa kawaida anamwitaji.
 

Acha upuuzi wa ki-magamba hatudanganyiki. Kawashauri A.C.T.
 
Naiunga mkono hoja yako lkn ktk hiyo CC ya CCM uliyoitaja nahisi hakuna mwenye ubavu wa kumkemea si tu EL bali maovu yoyote yanayofanyika ndani ya CCM.
 
Nasema tena kama ccm inataka kuwekwa jumba la makumbusho,
imtose Lowasa.
Tukisema tunamtaka mtu safi,tunamaanisha msafi wa kuoga
na kuvaa nguo safi,au tunamaanisha asiyekula rushwa?
Kama tunamaanisha asiyekula /kutoa rushwa ccm hakuna.

Nijitetee kwa kusema,ni kitu gani kiliwafanya mpitishe sheria ya takrima?
Na je ni kitu gani kiliwafanya mfute maadili ya viongozi kwenye katiba pendekezwa?

Natoa ushauri wa bure,katika wote waliotajwa mwenye uhafadhari ni EL
wengine tuleteeni tukutane kwenye sanduku october 2015
 
Vivo Hivo Kuna Mwingereza Anaitwa Las Hansen Kaniuliza Maswali Kama Hayo Asubuh Akamalizia Kuwa Ana Was Was Na Watanzania Kama Wanajua Maana Ya Corruption Na Siasa, Kasema Kwa Makini Eti Lowasa Katumia Akili Kuwarubun Watanzania Akili Kataja Njia Nne, Kudanganya Ataongelea Richmond Watu Wakakusanyika, Kawatumia Wasanii Kupata Mahudhulio, Katumia Ela Kuwasafirisha Watu, Kajitangaza Pitia Media,watu Si Kwamba Wanampenda Wamekuwa Influenced, KAMALIZIA ETI ANA WAS WAS NA AKILI YA MTU MWEUS
 
Naiunga mkono hoja yako lkn ktk hiyo CC ya CCM uliyoitaja nahisi hakuna mwenye ubavu wa kumkemea si tu EL bali maovu yoyote yanayofanyika ndani ya CCM.
Hata hivyo hatuwezamchagua mtu asiyeweza kupiga marufuku gongo na viroba.ndiyo atawezaje wakati yeye member!!!nooo haiwezekani
 
Umepotoka mbali kabisa Lowasa siyo mgombea wenzake ni mafisadi tu hakuna mwananchi wa kawaida anamwitaji.
Hizo akiliii au tope,mi ni mmojwapo wa mwananchi wa kawaida.unajitia hamnazo na unawawakilisha wananchi wa kawaida.edoooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…