Nimesoma huu uzi na ninabaki najiuliza hivi Moderator wanatumia vigezo gani kuunganisha baadhi ya thread na zingine kuziacha na kwakweli sipati majibu!!
Nilipita mitaa mingi Dar kuanzia Mbagala hadi Sinza. Sikuamini macho yangu na pua zangu
Harufu mbaya uchafu wa ajabu , vibanda vibanda vya kila shape .Yaani huwezi amini kama uko mjini.
Hata barabara za Rapid trans zimegeuka vyoo vya open.
I hateeverything in Dar.Bado ndio hao wanaleta mada za akina Memebe huku wakasahau nani kawafanya walivyo.