Kamari za Radio One, Clouds FM na EFM

usijichanganye, kuna corporate tax na gaming tax tax kila moja inalipwa kifyake, corporate tax kampuni inalipa kutoka kwenye faida wakati gaming tax kampuni ina-act kama agent wa TRA kuikusanya kutoka kwa washindi wa kamari
 
Ni wizi wa wazi wazi unaopigiwa debe na watangazaji wa vipindi,kuliko nicheze huu mchezo ni heri nibeti
 
usijichanganye, kuna corporate tax na gaming tax tax kila moja inalipwa kifyake, corporate tax kampuni inalipa kutoka kwenye faida wakati gaming tax kampuni ina-act kama agent wa TRA kuikusanya kutoka kwa washindi wa kamari
Hilo unalosema wewe kuwa agent ni WITHHOLDING TAX na hiyo hukatwa kutoka kwa yule aliyeshinda, ila kwenye kesi ya SMS lotto wanaokatwa ni wahusika wenyewe.
Binafsi nijuacho kwenye Gaming tax kuna kodi za aina mbili kuu, 1. Kodi ambayo hulipwa kutoka kwa washindi.
2. Kodi ambayo hulipwa kutoka kwa wamiliki (Kampuni husika).
Hapo nijuavyo ni kwamba kuna aina nyingi ya kamari hizi, ila hizo za sms mshindi hakatwi kodi yoyote bali mmiliki hukatwa kutokana na makusanyo yake mara baada ya kutoa gharama za ushindi.
Katika hali kama hiyo, haya makampuni anayodai mleta mada kuwa anaona kama wizi fulani. Yajikite kwenye Primary activity zao.
 
I missed a point, kodi ya mmliki inalipwa kwenye gross ya mapato at the rate of 3% and that is final nadhani, hatakiwi kusubmit provisional returns
 
I missed a point, kodi ya mmliki inalipwa kwenye gross ya mapato at the rate of 3% and that is final nadhani, hatakiwi kusubmit provisional returns
Hapa umeweka sawia sasa. Lkn je hizi kamari nini hatma ya vijana wetu hasa wale wa vijijini ambao bila kupewa elimu sahihi ya huu wizi.
 
Wao ndio wanaendesha. Mi pia nachukizwa na hizo kamari za kijinga.
watangazajio hawaendeshi hiyo michezo kazi yao ni KU mention tu (Brand talk) ila inaendeshwa na idara nyingine hapo hapo Radion. watangazaji wanafanya tu kama wanavyo mention matangazo mengine na sio waendeshaji
 
Si wanasema hapa nachezesha ili kumpata mshindi??
 
Wizi mtupu yani ukiwa na akili huwezi kucheza mamichezo ya ajabu ajabu unatakiwa utafute pesa , hakuna hela ya rahisi rahisi kiviiile , unatakiwa utoke jasho ndiomaana hata maandiko yanasema asiyefanya kazi na asile.
 
Hata betting ni kazi
 
Watu wanataka kulipa bills wewe unaleta mambo ya HAKKI
 
Ni ajabu sana taifa kutegemea kodi za kamari kuendesha mambo yake
 
Nchi hii kuna wajinga wengi sana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…