Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Uzi huu ni maalum kwa wale ambao mnataka kununua magari kwa bei nafuu. Tunafahamu uchumi umebana kodi ziko juu sio kila mtu anaweza kuagiza gari toka Japan ila unafuu uko kwa kuuziana gari ambazo ziko nchini tayari. Nitakuwa naweka gari na sifa zake na bei atakaependezwa tutafanya biashara.