Car4Sale Kamata gari uitakayo kwa bei za kizalendo

Car4Sale Kamata gari uitakayo kwa bei za kizalendo

Gari: Toyota IST NCP60 (1st Generation)
Engine: 1NZ-FE 1.5L i4
Status: Clean
Bei: 9.5m
Contact: 0746968020
IMG-20220720-WA0016.jpg
IMG-20220720-WA0015.jpg
IMG-20220720-WA0011.jpg
IMG-20220720-WA0012.jpg
IMG-20220720-WA0013.jpg
 
Nikasema,kwakua vyuma vimebadana ngoja nijisachi nichukue Wish nimpe mtu aniletee chochote jion, mara vuuu Kafulila analipuka uko kijijini kwetu kuwa hakuna gari ndogo kufanya kazi. nikasema:, nichukue tu nitapeleka Mkoa mwingine, sijakaa sawa, kwa kuwa hii ni Nchi ya kufuata sera za matukio, ngazi ya mwisho nayo pia ikakazia kuwa sasa ni Tanzania mzima hakuna gari dogo kupakia abiria.
Acha tu
 
Kaka tubadilishane gari na spika[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] joke!!










[mention]Kelsea [/mention] mpenzi ulisema unapenda morano ee[emoji16]
 
Gari: Crown Royal Saloon GRS18O
Engine: 4GR-FSE 2.5L V6
Status: Mint Condition (Reg. DZM)
Bei: 13.5M
Contact: 0746968020
IMG-20220722-WA0018.jpg
IMG-20220722-WA0017.jpg
IMG-20220722-WA0024.jpg
IMG-20220722-WA0019.jpg
UPDATE: SOLD!!!
 
Back
Top Bottom