mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Cha rahisi ni cha ghali!! Ila wengi huwa wanaujua ukweli huu baadaye sana na kwa majuto!!Hivi kumbe hata nkiwa na 5m nakamata chuma nzuri kabisa! Aaaaaah au niiiiii au basi[emoji846]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha rahisi ni cha ghali!! Ila wengi huwa wanaujua ukweli huu baadaye sana na kwa majuto!!Hivi kumbe hata nkiwa na 5m nakamata chuma nzuri kabisa! Aaaaaah au niiiiii au basi[emoji846]
achana naye huyo siyo mnunuziBiashara tu mkuu, mwenye nayo ana chuma kaagiza anataka afidie gap la kodi.
Hizi chuma sio poa mzee zimenyooka hatari na bei zinaendana na kipato cha mtanganyika... ...Big up!!Uzi huu ni maalum kwa wale ambao mnataka kununua magari kwa bei nafuu. Tunafahamu uchumi umebana kodi ziko juu sio kila mtu anaweza kuagiza gari toka Japan ila unafuu uko kwa kuuziana gari ambazo ziko nchini tayari. Nitakuwa naweka gari na sifa zake na bei atakaependezwa tutafanya biashara.
Hapa hapaaaaaaaUzi huu ni maalum kwa wale ambao mnataka kununua magari kwa bei nafuu. Tunafahamu uchumi umebana kodi ziko juu sio kila mtu anaweza kuagiza gari toka Japan ila unafuu uko kwa kuuziana gari ambazo ziko nchini tayari. Nitakuwa naweka gari na sifa zake na bei atakaependezwa tutafanya biashara.
Mkuu nasubiri petrol ishuke Bei kidogoFanya unyakue moja
Nunua succeed au probox (succeed ni imara zaidi na mwonekano wa kuvutia) peleka Kigoma au tarime.Nikasema,kwakua vyuma vimebadana ngoja nijisachi nichukue Wish nimpe mtu aniletee chochote jion, mara vuuu Kafulila analipuka uko kijijini kwetu kuwa hakuna gari ndogo kufanya kazi. nikasema:, nichukue tu nitapeleka Mkoa mwingine, sijakaa sawa, kwa kuwa hii ni Nchi ya kufuata sera za matukio, ngazi ya mwisho nayo pia ikakazia kuwa sasa ni Tanzania mzima hakuna gari dogo kupakia abiria.