Mkuu Extrovert na mimi nahitaji Harrier ila iwe na sun roof. Fanya jambo mkuu.....Kama unatoyota harrier iwe ya 2010 rangi iwe black ni pm faster
SafiUzi huu ni maalum kwa wale ambao mnataka kununua magari kwa bei nafuu. Tunafahamu uchumi umebana kodi ziko juu sio kila mtu anaweza kuagiza gari toka Japan ila unafuu uko kwa kuuziana gari ambazo ziko nchini tayari. Nitakuwa naweka gari na sifa zake na bei atakaependezwa tutafanya biashara.