lugoda12
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 276
- 574
Wakati wa kununua ng'ombe, usinunue kijijini kwako. Kwa sababu siku moja ng’ombe akienda mtoni kutafuta maji au kunywa maji, na mwenye ng’ombe wa zamani aliyekuuzia akimuona anaweza kumuelekeza aende nyumbani kwake, atamkamua kisha atamuachia ili arudi kwako.
Hatimae Baadaye utakapojaribu kumkamua, atakuwa anakupiga mateke, anakimbia huku na kule, na atakuwa hapendi kukupa maziwa ya kila siku kama hapo awali.
SWALI👇
Je, unalionaje hili?
Umenunua wapi?
NB: picha hii haina mahusiano na kilichoandikwa!! 🙄
Waliosoma "CUBA" watanielewa... 😂