Tetesi: Kamata kamata michango ya ujenzi wa shule Kagera

Wana selo. Huko ndiko inakoarifiwa wengine wamelala.

Walioshindwa kulipa wamelazimika kutimua mbio kwenda mafichoni.

Boda boda imebidi kughairi kazi.

Mitano ya ukweli!
Yaani ni kama enzi za kodi ya kichwa
 
K
Kuna vitu. Mnanalalamika kumbe wamekaa wenyew na wakakubaliana kabis alafu mnaleta lwama huko pambanane na hal zen

Kwamba walikaa wenyewe wakikubaliana? Hakuna kitu kama hicho.

Kinachoonekana huko ni kilio na kusaga meno.
 
Sawa "Saccos" ndio yenyewe
 
Hata Mleba-Nshamba mwenyekiti wa Kijiji na namatumaini yake wanapita nyumba kwa nyumba !!!
 
Elimu Ni ufunguo wa maisha.
Tuchangie maendeleo ya Taifa letu.
Maendeleo hayana vyama.
 
Elimu Ni ufunguo wa maisha.
Tuchangie maendeleo ya Taifa letu.
Maendeleo hayana vyama.

Maendeleo ya taifa ni kwa kuchangiwa tu? Hayawezi kuwa vipaumbele dhidi ya miradi mingine kama midege au miviwanja ya ndege uchwara vijijini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…