Kamata kamata tinted taa za Magari

Kamata kamata tinted taa za Magari

Sababu kubwa kwa fikra zangu binafsi ni rahisi kuzi edit endapo gari ikifanya uhqlifu mahali na ukakalili namba ni rahisi kubadili namba kwakuwa ile namba huunganishwa kwa Glue na kibati au background yake ila hivi tunavotumia huwa kibati ndio huundwa na namba njia pekee ya hivi tulivyozoea kama gari ikifanyq uharibifu ni kutoa kabisa kibati naimani utakuwa umenielewa
KWANI TBS HAIKUHUSISHWA?
 
Kwa wale waliobahatika kuwa na usafiri kama umebandika tinted kwenye taa za mbele na nyuma kuna msako wakukamata unafanywa na polisiView attachment 2704249
View attachment 2704250
View attachment 2704251
---

Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani limesema litaendelea kuwakamata madereva wa magari wanaoweka ‘tinted’ kwenye taa za mbele na nyuma pamoja na wote wanaoweka namba aina ya 3D kwenye magari.

Mkuu wa Elimu ya Usalama Barabarani, Kamishina Msaidizi wa Polisi Michael Deleli amesema ni kosa kisheria kufanya mabadiliko na kubadilisha uhalisia kwenye gari kwani huongeza hatari hususan nyakati za usiku.

“Plate number mtu anachukua dukani vizuri kabisa anaiwekea namba zingine, badala ya ile ambayo imechapichwa dukani, lakini ananunua zipo saizi zinachongwa za vioo na herufi zile zinakuwa na ujazo, zote hizo tunafanya oparesheni kuziondoa,” amesema Kamishna.

Ameongeza, “Herufi tu ile inatengenezwa kwa viwango, lakini mtu ameingia tu kati na yeye anaanza kufanya biashara [..] watu waheshimu sheria na kanuni zetu, wasijifanyie kama jinsi wanavyotaka.”
Bora langu halina hata hizo plate namba
 
Wazee wa 3D nao wanasakwa.. hii ndo bongo ipo siku watakamata wanaojaza mafuta full tank tupo hapa si mtaonaaa[emoji16]
Tatizo wanaiga chuga.
Si unaona hata pikipiki zinavyokatwa hadi inakywa inapakia dereva tuu nabtena dwreva mwenyewe bado anakaa kwa shida
 
we huoni kama wameingilia tenda za watu? Japo namba za 3D zinaonekana ni bora na za kisasa lakini hazijaidhinishwa na tbs na pia hao jamaa wanaofoji namba hizo hawakupewa tenda hiyo
Ni kweli
 
😅🤣 ONA WAPUMBAVU WALIOWEKA 3D NA TINTED wanavyo jitetea ushenz mtupu... Huna akili kama hujui madhara ya 3d na Taa za tinted... Huna akili kabisa
Umeshaambiwa ni 'unyama' Shida za kukulia kijijini zinakusumbua.
 
Mfahamu pia number plates zimetengenezwa in such a way that haziungui kirahisi. Yaani gari yaweza Waka moto lakini yale maandishi yaliyotuna yakawa yanasomeka vizuri tu. Kitu ambacho kwa hizi 3d sidhani kama zina ubora huo.
3D haifuti namba ya awali, wala haibadili kibati cha awali. Zile block zinagandishwa tu juu ya herufi/namba zilizopo. Hata ukiamua kuzitoa unabandua tu 3D inabaki namba ya awali. Kwa hiyo swala la plate number kutoungua liko pale pale.
 
Changamoto za 3D ni poor visibility at certain angles pia nyakati za usiku tatizo linaongezeka zaidi.

Hii ni simple model nimefanya kwenye program kuangazia uonekanaji wa 3D vs non 3D plate number kwa nagle tofauti tofauti.

NON 3D
NON 3DB.jpg

3D
3D B.jpg

NON 3D
NON 3DA.jpg

3D
3D A.jpg

NON 3D
NON 3D.jpg

3D
3D .jpg

Kama zinavyoonekana hapo nimejaribu kuweka angle tofauti tofauti, kwa plate number zenye raised 3D letters na zile za kawaida.

Hitimisho
3D letters zina mwonekano mzuri na wakuvutia ila zina changamoto ya kushindwa kusomeka kwenye angle fulani, na pia wakati wa usiku.

Solution
3D letters zinatengenezwa na aina ya vioo vya plastic vinavyojulikana kwa jina la acrylic panels zipo rangi kadhaa na pia zina thickness tofauti.
ili kutatua changamoto ya kutoonekana vizuri inabidi zitumike panel zenye thickness ndogo.

Mamlaka husika sioni haja ya kuzuia utumikaji wa hizi 3D raised letters endapo zitarekebishwa changamoto za uhafifu wa kuonekana kwake.

Nawasilisha.
 
Changamoto za 3D ni poor visibility at certain angles pia nyakati za usiku tatizo linaongezeka zaidi.

Hii ni simple model nimefanya kwenye program kuangazia uonekanaji wa 3D vs non 3D plate number kwa nagle tofauti tofauti.

NON 3D
View attachment 2716691

3D
View attachment 2716692

NON 3D
View attachment 2716693

3D
View attachment 2716694

NON 3D
View attachment 2716701

3D
View attachment 2716702

Kama zinavyoonekana hapo nimejaribu kuweka angle tofauti tofauti, kwa plate number zenye raised 3D letters na zile za kawaida.

Hitimisho
3D letters zina mwonekano mzuri na wakuvutia ila zina changamoto ya kushindwa kusomeka kwenye angle fulani, na pia wakati wa usiku.

Solution
3D letters zinatengenezwa na aina ya vioo vya plastic vinavyojulikana kwa jina la acrylic panels zipo rangi kadhaa na pia zina thickness tofauti.
ili kutatua changamoto ya kutoonekana vizuri inabidi zitumike panel zenye thickness ndogo.

Mamlaka husika sioni haja ya kuzuia utumikaji wa hizi 3D raised letters endapo zitarekebishwa changamoto za uhafifu wa kuonekana kwake.

Nawasilisha.
You are great thinker.
 
Back
Top Bottom