Kamata kamata za watuhumiwa wa ufisadi NYS zaanza

Unapindisha mandhari ya mada, Kiswahili ni lugha ya taifa Kenya na pia ni lugha ya asili ya baadhi ya jamii zetu za Pwani, walihusika kwenye kukibuni.
Turudi kwenye mada....
umemjibu vyema kabisa...jamaa kanishangaza sana...kwani hakuna waknya wanaoweza kuandika Kiswahili sanifu? sasa ushakuwa mtanzania sababu ya mwandiko wako? jamaa hana akili kabisa
 
hawa watakuwa small fish and middle-sized fishes....tunataka sasa the big fish baada ya hawa kukamatwa...tumechoshwa sana...finance minister, CBK governor na bank managers wana maswali yakujibu pia...
 
hawa watakuwa small fish and middle-sized fishes....tunataka sasa the big fish baada ya hawa kukamatwa...tumechoshwa sana...finance minister, CBK governor na bank managers wana maswali yakujibu pia...

Paspoti zitwaliwe, kila aliyetajwa kwa namna moja au nyingine anafaa kubaki ndani nyumbani mwake akisubiri makachero kubisha hodi wakati wowote, nchi yote ijawe taharuki, tumbo joto kwa kila mmoja, we want blood...
 
Paspoti zitwaliwe, kila aliyetajwa kwa namna moja au nyingine anafaa kubaki ndani nyumbani mwake akisubiri makachero kubisha hodi wakati wowote, nchi yote ijawe taharuki, tumbo joto kwa kila mmoja, we want blood...
Maze corruption Africa ni cancer. Mr Magufuli recently has received his Party assets audit report, my friend I hope no action will be taken coz am sure if he acts the party will shake
 
Unazeeka vibaya, hao mawaziri walifungwa miaka minane jela na wametukia kifungo chao zaidi ya nusu. Kutokana na uzee na afya zao wakabadilishiwa kuwa kifungi cha kijamii. Hebu tuonyeshe kiongozi gani mwenyewe hadhi ya baraza la mawaziri amehukumiwa kwa ufisadi nchini Kenya. Hili swala Kenya hamliwezi mtake msitake, kuanzia Jomo Kenyatta, Moi, Uhuru Kenyatta, Ruto hata huyo Matiagi wote ni mafisadi. Wote wamejilimbikizia mali ambayo ukiwauliza vizuri hawawezi kujibu wameipata vipi. Mnapenda kuona sinema eti fulani kakamatwa, kuna watu waiokuwa na nafasi kubwa makatibu wakuu nk wateseka hivi sasa kujibu maswali magumu na akauti zao zimewekwa stop.
 

Nimetafuta kwenye Googla na kukuta hao walifungwa kipindi cha Kikwete, kifungo chaa miaka mitatu na wakaachiwa kwenye utawala wa hii awamu ili wakafagie. Lakini mali zao hazikutaifishwa, hivyo bado issue iko pale pale, a slap on the wrist baada ya kukwapua mabilioni.
 
Kifungo ni kifungo, kupotelewa kwa heshima ya mtu tena ukiwa ni mtu mkubwa na mwenyewe madaraka ina umiza kuliko kifungo cha kukaa jela. Unafikiri watu kama Bill Cosby na Harvey Weinstein wanaumizwa kiu gani, kupotea pesa au kupoteza heshima yao mbele ya jamii?

Hao mawaziri walifungwa kwa kosa la kutoa vibali kiolela na kuikosesha serikali mapato, huo ni ufisadi lakini kulikiuwa hakuna ushahidi kama walifaidika na maamuzi hayo. Uzuri ni kwamba Tanzania hivi sasa kuna watu wanakimbizwa, TAKUKURU haijawahi kuwa hivi busy.
 
This time I pray things will be different... huyo mkuu wa Mashtaka aliingia mamlakani 2018... kabla hapo Noording Haji alikua Deputy Director pale NIS...incharge of Economic crimes related to Money laundering, Terrorism, corruption ..etc
at NIS alikua na malaka ya ku gather information na kuisukuma kwa polisi bila kuchukua action, lakini ndani ya ofisi ya DPP ana mamlaka yote.... this is his first case so he has to prove himself...



Noordin’s full name is Noordin Mohamed Haji.
[HASHTAG]#Son[/HASHTAG]
Noordin Haji is the son of Garissa Senator Mohamed Yusuf Haji.
[HASHTAG]#Education[/HASHTAG]
Noordin Haji is a law graduate of Wales College, Cardiff.
[HASHTAG]#Career[/HASHTAG]
Noordin Haji is the former Deputy Director for National Intelligence Service in charge of economic crime with breaches like money laundering, terrorism and corruption under his watch.



Noordin Haji is one of the few Kenyans who rarely smile. I don’t know why but I guess it’s because he’s been at the helm of National Intelligence Service for decades. Here is the current Director of Public Prosecution’s Biography
Noordin is the son of Garissa Senator Yusuf Haji. Yusuf Haji also served as the the Defense Minister during Kibaki era.
Noordin was born in Garissa before he joined Wales College,Cardiff for a Law degree. Upon completion, he joined the National Intelligence Service as a graduate trainee.
Over time, he rose through the ranks to become Deputy Director in charge of Economic Crimes at NIS.
On March 14,2018 President Kenyatta picked Noordin Haji to take over office of DPP.The no nonsense Kenyan outshined replaced Keriako Tobiko who was appointed CS Environment.
Noordin’s first major assignment was to prosecute NYS cases,a job that needed stamina and thick skin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…