Kamata mkwanja wa chap chap funga mbuzi ndani ya miez 6 tu hutalalama pesa ngumu

Mm mwenywe nawaxa sana kuhusu mbuzi aisee ngoja tupeane ujuzi labda naweza nkajifunza kitu nkabadili maisha yangu
 
Mm mwenywe nawaxa sana kuhusu mbuzi aisee ngoja tupeane ujuzi labda naweza nkajifunza kitu nkabadili maisha yangu
Mkuu na mimi pia nawaza Sana juu ya awa wanyama. Subiri tujifunze
 
Kuna jamaa yangu anatrade mbuzi,anapiga profit ya laki nne per week!! Iyo ni minimum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…