Kamata mkwanja wa chap chap funga mbuzi ndani ya miez 6 tu hutalalama pesa ngumu

Kamata mkwanja wa chap chap funga mbuzi ndani ya miez 6 tu hutalalama pesa ngumu

Hakunaga mkwanja wa chap chap tuache kudanganyana! Kupata mkwanja lazma utoe jasho!
 
Wakuu kama uzi unavyojieleza wazi wazi kabisa mbuzi ni dili Sana Kwa walio tayari na uzoefu nawakaribisha kweny mada hii walete mawili ma3 tuunge group letu tujue jinsi ya kufanya
tatizo mi sehemu ya kuwafugia wengi tunaishi kwenye mazingira yasiyo rafiki natamani sana kufuga kuku wa mayai na nyama ila !!!! ndoto kutimia ni ngumu
 
Unafugia wapi!?

Mie ninazizi Dodoma

Nauzia dar!

Delivery free kwa dar! Unachinjiwa na kusafishiwa!

Tatizo Pugu bei mbovu sana!
Labda uuze bei ya kutupa,@ faida faida 8000__10,000/
 
Unafugia wapi!?

Mie ninazizi Dodoma

Nauzia dar!

Delivery free kwa dar! Unachinjiwa na kusafishiwa!

Tatizo Pugu bei mbovu sana!
Labda uuze bei ya kutupa,@ faida faida 8000__10,000/
Unauzaje mkuu..?
 
Unauzaje mkuu..?
NIKO LINDI TANZANIA WILAYA YA NACHJNGWEA MBUZI NI.DILI YAANI DEMAND NI KUBWA ILA HAKUNA MIFUGO KILO MOJA HUUZWA SH ELFU.TISA NA WILAYA NZIMA BITCHER YA MBUZI INAYOTAMBULIKA NI MOJA TU BAASI KWA MWENYE MTAJI ANAWEZA NISHIRIKISHA TUKAPIGA HELA.
IKUMBUKWE FURSA IPO ISIPOKUA MAZINGIRA YA KAZI YANGU YANANIBANA KUFUGA ILA KAMA KUPITA KUKAGUA TU WALIOCHINJWA INAWEZEKANA IMEAN MABUCHA ILA MAENEO KWA WANAOTAKA KUFUGA Ypo njooon tuwekeze tulime na korosho
 
Back
Top Bottom