Wakuu kama uzi unavyojieleza wazi wazi kabisa mbuzi ni dili Sana Kwa walio tayari na uzoefu nawakaribisha kweny mada hii walete mawili ma3 tuunge group letu tujue jinsi ya kufanya
Mashamba kwaajili ya kilimo bei gani mkuu kwa hekari kwa hko mtwara. Hasa koroshoNIKO LINDI TANZANIA WILAYA YA NACHJNGWEA MBUZI NI.DILI YAANI DEMAND NI KUBWA ILA HAKUNA MIFUGO KILO MOJA HUUZWA SH ELFU.TISA NA WILAYA NZIMA BITCHER YA MBUZI INAYOTAMBULIKA NI MOJA TU BAASI KWA MWENYE MTAJI ANAWEZA NISHIRIKISHA TUKAPIGA HELA.
IKUMBUKWE FURSA IPO ISIPOKUA MAZINGIRA YA KAZI YANGU YANANIBANA KUFUGA ILA KAMA KUPITA KUKAGUA TU WALIOCHINJWA INAWEZEKANA IMEAN MABUCHA ILA MAENEO KWA WANAOTAKA KUFUGA Ypo njooon tuwekeze tulime na korosho
mkuu sio mtwara ni lindi wilayani nachingwea,kuhusu shamba mkuu hutegemea na uhalisia wa mikorosho yenyewe yaani ni mingi kiasi gani?umri wa miti pia yaani mikinda na mizee na pia inautofauti wake.man lakini mkuu ata laki nne na kuemdelea wapataMashamba kwaajili ya kilimo bei gani mkuu kwa hekari kwa hko mtwara. Hasa korosho
Sawa sawaNIKO LINDI TANZANIA WILAYA YA NACHJNGWEA MBUZI NI.DILI YAANI DEMAND NI KUBWA ILA HAKUNA MIFUGO KILO MOJA HUUZWA SH ELFU.TISA NA WILAYA NZIMA BITCHER YA MBUZI INAYOTAMBULIKA NI MOJA TU BAASI KWA MWENYE MTAJI ANAWEZA NISHIRIKISHA TUKAPIGA HELA.
IKUMBUKWE FURSA IPO ISIPOKUA MAZINGIRA YA KAZI YANGU YANANIBANA KUFUGA ILA KAMA KUPITA KUKAGUA TU WALIOCHINJWA INAWEZEKANA IMEAN MABUCHA ILA MAENEO KWA WANAOTAKA KUFUGA Ypo njooon tuwekeze tulime na korosho
Bado upo huko mkuu?NIKO LINDI TANZANIA WILAYA YA NACHJNGWEA MBUZI NI.DILI YAANI DEMAND NI KUBWA ILA HAKUNA MIFUGO KILO MOJA HUUZWA SH ELFU.TISA NA WILAYA NZIMA BITCHER YA MBUZI INAYOTAMBULIKA NI MOJA TU BAASI KWA MWENYE MTAJI ANAWEZA NISHIRIKISHA TUKAPIGA HELA.