Kamata ya Diamond Platnumz ni ngoma mbovu mno, jamaa kaishiwa ubunifu

Kamata ya Diamond Platnumz ni ngoma mbovu mno, jamaa kaishiwa ubunifu

Diamond aache roho mbaya..kiba akishine tu kidogo zongo lazima litokee..
 
wimbo wenu huwa huo huo miaka nenda rudi lkn baada ya muda jamaa anakuja kuvunja records kwa nyimbo hizo hizo mnazosemaga mbaya
 
Harmonize naye eti katowa inaitwa Sandakalawe sasa ukisikia matusi humo ndo nyumbani kwao.
 
Mkuu nakubali uwezo wako wa kudadavua mambo, ila kwa hili hapana kwahiyo Diamond asitoe wimbo kisa Ali kiba ametoa? Hii ni vita na mwenye nguvu ndio ataibuka mshindi
Diamond aache roho mbaya..kiba akishine tu kidogo zongo lazima litokee..
 
Mkuu nakubali uwezo wako wa kudadavua mambo, ila kwa hili hapana kwahiyo Diamond asitoe wimbo kisa Ali kiba ametoa? Hii ni vita na mwenye nguvu ndio ataibuka mshindi
It is not a fact nilishosema..lakini inaonekana hivyo..huyu jamaa ni kama anataka awe mwenyewe tu..wakati tayari kashawaacha wenzake mbali lakini bado hajiamini..na sio kutoa ngoma tu,hata kuja na drama drama wakati ambao kina alikiba wametoa japo ka wimbo kazuri/kanakopendwa.
 
Nyimbo yenyewe tangu itoke ni vidada tu ndio vinafanya challenge, sasa sijui hata trending imeingiaje, huu ni uharamia!
 
Back
Top Bottom