Kamata ya Diamond Platnumz ni ngoma mbovu mno, jamaa kaishiwa ubunifu

Hatari kwenye hip-hop za miaka hiyo zinazohusu mabif ya wasanii msanii alikua anangoja walau ngoma kutoka kwa mpinzani ikae kwa airtime hata wiki ndio na yeye anatoa yake kujibu mashambulizi(japo ilikua kibiashara pia)

Sasa siku hizi na roho mbaya naona inachangia kiasi Cha muziki kukosa taste na kugeuka kilinge sijui niseme Cha Nini aise
 
Mlio karibu na Sadala mshaurini kama upeo wake umefika mwisho kwenye kutunga mashairi atafute watu wenye idea mpya wamwandikie yeye abaki kuimba tu.

Msisahau jana King kaachia Good music akiwa kamshirikisha Rude Boy ngoma inaitwa Salute
Na mbaya zaidi Wana support kubwa ya mijinga isiyojua muziki..yaani hata akija Michael Jackson hapa bongo hawezi sikika kisa hii mitimu ya kipumbavu
 
Ila 𝚒𝚊 πšŠπš•πš’πš”πš’πš‹πšŠ πš’πš•πšŽ πšœπšŠπš•πšžπšπ•– ni utopolo 𝓼π“ͺ𝓷π“ͺ
 
Kajamaa katakuwa kanaloga sana wenzake..alafu akohojiwa utadhani mtu..yaani hataki mtu mwingine asikike..watu wa aina hiyo hawanaga marafiki wa kudumu cause akikuona unakuja juu anakuchukia
Hakika mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…