Nchi hii unakamatwa kwanza kisha wanaanza kutafuta kosa la kukupa.Gwajima ana kosa gani ?
Kahaba ni kahaba tuNilishasema Mama anahujumiwa. Ninarudia tena MAMA ANAHUJUMIWA. Kuna cartel inasukuma kete zake kwa ustadi mkubwa sana kumharibia mama kipenzi cha watanzania. Hii ishu ya kuzuia waumini wa kanisa la Gwajima kuabudu inaichafua zaidi serikali ya mama. Kama Gwajima ndo mwenye kosa basi akamatwe yeye ila kanisa lake liendelee kuhudumia waumini kama kawaida.
Kufungia makanisa hadi huko mikoani ni sawa na kuwaamsha hata ambao walikuwa hawana haja ya kufuatilia mambo yanayoendelea. Kuna waumini wengi tu wa haya makanisa ni kama kondoo ambao hawataki kabisa mambo ya vurugu wala siasa. Wao ni kufanya shughuli zao binafsi, kusali na kutoa sadaka kwa Gwajima. Watu kama wanahatarisha vipi amani?
Ninatumaini jumapili ijayo hakutakuwa na aibu iliyojitokeza jana.
Sasa kosa kafanya Gwajima unafungia vipi kanisa ,kanisa ni taasisi.Kwamba alisajiliwa gwajima akili za wapi hizi
USSR
Gwajima amefanya kosa gani? Mbona mnataka kuhalalisha mambo ya kipuuzi? Kwani sisi wananchi tumekuwa ng'ombe mpaka iwe kosa kukosoana?Sasa kosa kafanya Gwajima unafungia vipi kanisa ,kanisa ni taasisi.
Ww huyo mama yako ulimsikia vzr alipojichomeka kwenye harambee ya KKKT nini alisema unakikumbuka?hv ww unadhani Rais SAMIA anajitambua kwa sasa?Nilishasema Mama anahujumiwa. Ninarudia tena MAMA ANAHUJUMIWA. Kuna cartel inasukuma kete zake kwa ustadi mkubwa sana kumharibia mama kipenzi cha watanzania. Hii ishu ya kuzuia waumini wa kanisa la Gwajima kuabudu inaichafua zaidi serikali ya mama. Kama Gwajima ndo mwenye kosa basi akamatwe yeye ila kanisa lake liendelee kuhudumia waumini kama kawaida.
Kufungia makanisa hadi huko mikoani ni sawa na kuwaamsha hata ambao walikuwa hawana haja ya kufuatilia mambo yanayoendelea. Kuna waumini wengi tu wa haya makanisa ni kama kondoo ambao hawataki kabisa mambo ya vurugu wala siasa. Wao ni kufanya shughuli zao binafsi, kusali na kutoa sadaka kwa Gwajima. Watu kama wanahatarisha vipi amani?
Ninatumaini jumapili ijayo hakutakuwa na aibu iliyojitokeza jana.
Gwajima Hana kosa wewe hivi upo nchi gani na una umri Gani?Sasa kosa kafanya Gwajima unafungia vipi kanisa ,kanisa ni taasisi.
Kosa linalo kanisa ndio maana limefutwa kwa kumpa Platform alitumie kwa siasaGwajima Hana kosa wewe hivi upo nchi gani na una umri Gani?
Kabisa ni tabia yake yeye binafsiNdivyo alivyo, ndiyo uhalisia wake....
No hujuma Wala nini
anagusa imani za watu wakati imani yake inazidi kushamiri, katikati ya wenye imani yake wanaohubiri uovu na ugaidi ila misikiti haifungwi. msikiti wa kwa mtoro ulishawahi kuwa kitovu cha mahubiri mabaya sana ila hawajawahi kuufunga, hadi leo kuna misikiti ina mahubiri mabaya hata sio ya kukemea uuaji na utekaji, ila hawezi kufunga kwasababu hao ni wa dini yake? au anataka tuelewe nini. aachie watu wasali hawana kosa, gwajima ndio mwenye kosa.Nilishasema Mama anahujumiwa. Ninarudia tena MAMA ANAHUJUMIWA. Kuna cartel inasukuma kete zake kwa ustadi mkubwa sana kumharibia mama kipenzi cha watanzania. Hii ishu ya kuzuia waumini wa kanisa la Gwajima kuabudu inaichafua zaidi serikali ya mama. Kama Gwajima ndo mwenye kosa basi akamatwe yeye ila kanisa lake liendelee kuhudumia waumini kama kawaida.
Kufungia makanisa hadi huko mikoani ni sawa na kuwaamsha hata ambao walikuwa hawana haja ya kufuatilia mambo yanayoendelea. Kuna waumini wengi tu wa haya makanisa ni kama kondoo ambao hawataki kabisa mambo ya vurugu wala siasa. Wao ni kufanya shughuli zao binafsi, kusali na kutoa sadaka kwa Gwajima. Watu kama wanahatarisha vipi amani?
Ninatumaini jumapili ijayo hakutakuwa na aibu iliyojitokeza jana.
Nchi hii ina vihongo wengi! Tena dini ndio imefanya watz wengi wakawa makondoo na kuipigia fisiemu kura.Nilishasema Mama anahujumiwa. Ninarudia tena MAMA ANAHUJUMIWA. Kuna cartel inasukuma kete zake kwa ustadi mkubwa sana kumharibia mama kipenzi cha watanzania. Hii ishu ya kuzuia waumini wa kanisa la Gwajima kuabudu inaichafua zaidi serikali ya mama. Kama Gwajima ndo mwenye kosa basi akamatwe yeye ila kanisa lake liendelee kuhudumia waumini kama kawaida.
Kufungia makanisa hadi huko mikoani ni sawa na kuwaamsha hata ambao walikuwa hawana haja ya kufuatilia mambo yanayoendelea. Kuna waumini wengi tu wa haya makanisa ni kama kondoo ambao hawataki kabisa mambo ya vurugu wala siasa. Wao ni kufanya shughuli zao binafsi, kusali na kutoa sadaka kwa Gwajima. Watu kama wanahatarisha vipi amani?
Ninatumaini jumapili ijayo hakutakuwa na aibu iliyojitokeza jana.
Najua kua hana kosa ila ata angekuwa na kosa haikiupaswa kuadhibiwa taasisiGwajima Hana kosa wewe hivi upo nchi gani na una umri Gani?