Kamati iliyotoa Mapendekezo ya Kamati ya Msajili wa Vyama Kuhusu Katiba Mpya, Kisheria na Kimantiki ni Batili

Uzuri kifo kikifika kimefika ,Bila kujali we nani, cheo, au utajili wako , unafukiwa na nguo moja na lisanduku la gharama japo hizo ni mbwembwe tu, utaoza na kubaki mifupa tu,

Watu wskilijua hili na kulitafakari ,basi Dunia na Tz itakua Sehem salama Sana ,shida ni upofu tu
 
Mkuu umenena ilyo kweli tupu...jamaa waliopo pale Bungeni ni kama genge liliopachikwa kwa ajiri ya kuabudu Miungu mtu na sio walochaguliwa na Wananchi. Wananchi tulitekwa na genge lile eti hilo hilo leo lishiriki kuunda Katiba yetu.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…