Kamati iliyotoa Mapendekezo ya Kamati ya Msajili wa Vyama Kuhusu Katiba Mpya, Kisheria na Kimantiki ni Batili

Zito anafahamika. Agenda kubwa kwake huwa na mapato yake binafsi. Mambo mengine yote huwa yanalenga ajenda yake kuu. Na yeye kuambiwa na Rais kuwa amejihakikishia kazi ya kufanya miaka 9 (ikimaanisha uhakika wa mapato yake binafsi kwa miaka 9, ni mafanikio yake makuu kwa ajenda yake kuu).

Wananchi, tunatakiwa kupuuza maamuzi ya vijikamati hivi ambavyo ni uchochoro wa kupatia pesa kwa watu waliokubali kutumika kama vibaraka wa wasiotaka watanzania wawe na katiba iliyo bora, wanayoitaka, inayoangalia maslahi ya wananchi wote.
Vijikamati na ripoti zake feki kama za North Mara
 
Kuna mambo katika Taifa hili huwa yanafanyika mpaka unajiuliza, sisi ni Taifa la namna gani?

Mojawapo ya mambo yanayoonekana kutudhalilisha wote kama Taifa ni hili la katiba mpya.

Katiba ni ya wananchi wote, siyo ya wanasiasa na siyo ya vyama vya siasa.

Kinachoitwa kamati ya katiba, hiyo iliyotoa taarifa yake kwa Rais Samia, wajumbe wake na miongozo yake ya kufanya kazi, vimeandaliwa na Mutungi. Mutungi ni msajili wa vyama vya siasa. Ni sheria ipi, ni katiba gani imempa mamlaka msajili wa vyama vya siasa kushughulika na mambo ya katiba mpya? Mutungi ni nani kwenye suala la katiba mpya?

Tume ya Jaji Warioba, kuanzia kuundwa kwake na mchakato wote viliongozwa na sheria iliyotungwa na Bunge, haka kamati kalikoundwa na Mutungi, kameundwa kwa sheria gani?

Msajili wa vyama ashughulike na mambo yanayomhusu. Watanzania tusifanywe wajinga kwa kiwango hiki. Haya ni matumizi mabaya ya easilimali za Taifa.

Tume ya Warioba ilikwishatoa ripoti yake, na ilitamka wazi kuwa WATANZANIA WANATAKA KATIBA MPYA. HATA WALE AMBAO HAWAKUSEMA MOJA KWA MOJA KUWA WANATAKA KATIBA MPYA, MABADILIKO WANAYOYATAKA YANAAMAANISHA UWEPO WA KATIBA MPYA.

Kauli ya Rais Samia kusema kuwa wanaotaka katiba mpya ni watumiaji wa mitandao, watanzania hawataki katiba mpya, nayo ni kauli iliyokosa weledi. Kwani wanaotumia mitandao siyo Watanzania? Rais mwenyewe anatumia twitter, ina maana na yeye siyo Mtanzania?

Kauli na matendo ya viongozi yanaondoa kuaminiana. Tuheshimu maamuzi ya wananchi, hata kama hatuyapendi. Kiongozi mwenye busara na hekima, ni lazima, siku zote uangalie maamuzi ya wananchi, wananchi wanataka nini. Wanachokitaka wananchi, na ambacho walikwishakitolea maamuzi, ni lazima iwe ajenda ya kipaumbele cha kwanza kwa kiongozi yeyote mwenye busara na anayetambua majukumu ya kiongozi.

Hakuna haja ya vijikamati kwenye suala la katiba. Kamati iliyoundwa na Mutungi, msajili wa vyama vya siasa, halafu ikaenda kushughulika na suala la katiba mpya, ni ubatili, kamati yenyewe ni batili na hata maamuzi yake ni batili. Wananchi tunatakiwa kuyapuuza maana wananchi hawakuwahi kumpa Mutungi kazi ya kushughulikia katiba mpya iwe kwa kupitia sheria ya usajili wa vyama vya siasa, au kwa sheria nyingine yoyote ile.

Mod: naomba isomeke

MAPENDEKEZO YA KAMATI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUHUSU KATIBA MPYA, KISHERIA NA KIMANTIKI, NI BATILI.
Ndiyo maana yeye mwenyewe amejisahau anadai kuwa hilo ni shamba lake .... amewakodisha.

Hivyo wasifanye kitu bila kumtaarifu mwenye shamba .
 
Katiba Mpya,itapatikana kwa njia rahisi kwa kupiga Kura Za hapana kwa Samia.
Pia tutaondokana na Muungano.
Kwa design ya uchaguzi wa Mahela na Magufuli 2020 hivi hilo wewe unaona linawezekana!

Au unamuundermine Maza ......!!?
 
Kwani tume ya makinikia iliundwa kwa sheria ipi?
Ile ilikuwa ni kamati iliyoundwa na Rais kwa mamlaka ya kiutendaji aliyopewa na katiba.

Katiba ipo juu ya Rais. Halafu mtu mmoja, hajulikani huko alikotoka, anaitwa Mutungi eti anaunda kamati kushughulikia suala katiba mpya, ni upuuzi wa hali ya juu.

Ni sawa na mfanyakazi mfagizi wa ofisi kuunda kamati kushughulikia muundo wa bodi ya kampuni, tena ambayo yeye ni mwajiriwa wa kada ya chini.
 
South Africa ya Makaburu ilikuwa bora sana kiuchumi kuliko hiibya kina Ramaphosa.

Maeneo mengi kilio cha Katiba mpya ni kelele za wanasiasa kutafuta upenyo wa kutawala…wengi wa wanasiasa wanaopigania Katiba ni kwa maslahi yao na wanaopinga katiba mpya pia ni kwa maslahi yao japo wote wanaigiza wanaangalia Maslahi ya Raia na Nchi

Huoni maeneo yote panapotokea mizozo ya Uchaguzi suluhu huwa ni kugawana madaraka badala ya kuitisha tena uchaguzi au kukomaa kurekebisha kasoro
Tatizo la Afrika ya Kusini sio katiba mpya iliyoondoa apartheid na kushirikisha weusi kwenye mchakato wa demokrasia na utawala wa nchi. Ilikuwa lazima katiba irekebishwe. Tatizo ni hulka ya ufisadi mkubwa ulioletwa serikalini na viongozi wa ANC baada ya Mandela.

Ni indictment kwa watu weusi kutoweza kuongoza nchi kama makaburu walivyokuwa wakidai miaka. Ni ugonjwa wa nchi zetu Waafrika - usioelezeka. Wengine wanasema ni laana. Tusioamini ushirikina tunapuuza ingawa inakosesha raha sana.

UZURI, katiba ya Afrika ya Kusini inafanya kazi hata kuwajibisha Rais akitenda jinai. Kwetu Rais ni mungu. That’s unacceptable.

Hivyo si sahihi kupuuza umuhimu wa katiba mpya Tanzania kwa mfano wa RSA.
 
Umuhimu wa Katiba mpya unautazama kwa ubora wa uchumi au nguvu ya kuntoa Rais?

Kama Rais hana hofu ya kutolewa pale anapoboronga ni ndoto Rais huyo kujikita kwenye kuimarisha uchumi.

Uwajibikaji ni nguzo ya maendeleo
 
Kuna mambo katika Taifa hili huwa yanafanyika mpaka unajiuliza, sisi ni Taifa la namna gani?

Mojawapo ya mambo yanayoonekana kutudhalilisha wote kama Taifa ni hili la katiba mpya.

Katiba ni ya wananchi wote, siyo ya wanasiasa na siyo ya vyama vya siasa.

Kinachoitwa kamati ya katiba, hiyo iliyotoa taarifa yake kwa Rais Samia, wajumbe wake na miongozo yake ya kufanya kazi, vimeandaliwa na Mutungi. Mutungi ni msajili wa vyama vya siasa. Ni sheria ipi, ni katiba gani imempa mamlaka msajili wa vyama vya siasa kushughulika na mambo ya katiba mpya? Mutungi ni nani kwenye suala la katiba mpya?

Tume ya Jaji Warioba, kuanzia kuundwa kwake na mchakato wote viliongozwa na sheria iliyotungwa na Bunge, haka kamati kalikoundwa na Mutungi, kameundwa kwa sheria gani?

Msajili wa vyama ashughulike na mambo yanayomhusu. Watanzania tusifanywe wajinga kwa kiwango hiki. Haya ni matumizi mabaya ya easilimali za Taifa.

Tume ya Warioba ilikwishatoa ripoti yake, na ilitamka wazi kuwa WATANZANIA WANATAKA KATIBA MPYA. HATA WALE AMBAO HAWAKUSEMA MOJA KWA MOJA KUWA WANATAKA KATIBA MPYA, MABADILIKO WANAYOYATAKA YANAAMAANISHA UWEPO WA KATIBA MPYA.

Kauli ya Rais Samia kusema kuwa wanaotaka katiba mpya ni watumiaji wa mitandao, watanzania hawataki katiba mpya, nayo ni kauli iliyokosa weledi. Kwani wanaotumia mitandao siyo Watanzania? Rais mwenyewe anatumia twitter, ina maana na yeye siyo Mtanzania?

Kauli na matendo ya viongozi yanaondoa kuaminiana. Tuheshimu maamuzi ya wananchi, hata kama hatuyapendi. Kiongozi mwenye busara na hekima, ni lazima, siku zote uangalie maamuzi ya wananchi, wananchi wanataka nini. Wanachokitaka wananchi, na ambacho walikwishakitolea maamuzi, ni lazima iwe ajenda ya kipaumbele cha kwanza kwa kiongozi yeyote mwenye busara na anayetambua majukumu ya kiongozi.

Hakuna haja ya vijikamati kwenye suala la katiba. Kamati iliyoundwa na Mutungi, msajili wa vyama vya siasa, halafu ikaenda kushughulika na suala la katiba mpya, ni ubatili, kamati yenyewe ni batili na hata maamuzi yake ni batili. Wananchi tunatakiwa kuyapuuza maana wananchi hawakuwahi kumpa Mutungi kazi ya kushughulikia katiba mpya iwe kwa kupitia sheria ya usajili wa vyama vya siasa, au kwa sheria nyingine yoyote ile.

Mod: naomba isomeke

MAPENDEKEZO YA KAMATI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUHUSU KATIBA MPYA, KISHERIA NA KIMANTIKI, NI BATILI.
Umeongea vizuri, ila ijulikane wale wote wenye mikakati ya ovyo juu ya katiba mpya wajue MUNGU hayupo ubande wao , na mbaya ni wale umri kuanzia miaka 60 je wanafikili wataiona miaka mingiene 60, ?

KATIBA NI LAZIMA HAKUNA WA KUZUIA labda Kama Mungu wa watanzania Amelala,

Kimbunga Cha katiba mpya hakitamuacha mtu salama yeyote atakaye kwamisha hitaji hili Muhim KWa watanzania
 
sijajua kwanini viongozi wengi wa ccm hawataki katiba mpya tena wanaogopa sana, sasa kama niwazalendo siwafuate na kufanyia kazi maoni ya watanzania?
 
Uzalendo wa wanaCCM walio wengi, ni wa kinafiki na hadaa.

Kama kweli wangekuwa wazalendo wa kweli, wangekuwa mstari wa mbele katika kusukuma upatikanaji wa katiba mpya inayomfanya kila mwananchi awe na haki sawa na wenzake.
 
Umeongea vizuri, ila ijulikane wale wote wenye mikakati ya ovyo juu ya katiba mpya wajue MUNGU hayupo ubande wao , na mbaya ni wale umri kuanzia miaka 60 je wanafikili wataiona miaka mingiene 60, ?

KATIBA NI LAZIMA HAKUNA WA KUZUIA labda Kama Mungu wa watanzania Amelala,

Kimbunga Cha katiba mpya hakitamuacha mtu salama yeyote atakaye kwamisha hitaji hili Muhim KWa watanzania
Watu waliolewa madaraka huwa wanaona wana mamlaka yote, na wala hawaamini wana ukomo wa maisha yao hapa Duniani.

Hawaamini kama kuna kifo, ugonjwa wa kukufanya usijimudu, au hata kuondolewa kwenye madaraka.

Ndiyo maana wakati wote mambo yao yote reference yao huwa ni uchaguzi unaofuata, na huo unaofutaa huumini watatangazwa kuwa washindi, bila ya kujali wananchi watataka au hawataki.
 
South Africa ya Makaburu ilikuwa bora sana kiuchumi kuliko hiibya kina Ramaphosa.

Maeneo mengi kilio cha Katiba mpya ni kelele za wanasiasa kutafuta upenyo wa kutawala…wengi wa wanasiasa wanaopigania Katiba ni kwa maslahi yao na wanaopinga katiba mpya pia ni kwa maslahi yao japo wote wanaigiza wanaangalia Maslahi ya Raia na Nchi

Huoni maeneo yote panapotokea mizozo ya Uchaguzi suluhu huwa ni kugawana madaraka badala ya kuitisha tena uchaguzi au kukomaa kurekebisha kasoro
Naomba kukupinga.South Africa ingekuwa na katiba kama yetu basi Zuma angekuwa bado yuko Ikuru kama Museveni
 
Kama Rais hana hofu ya kutolewa pale anapoboronga ni ndoto Rais huyo kujikita kwenye kuimarisha uchumi.

Uwajibikaji ni nguzo ya maendeleo
Naona speed ya kufunga miradi na hotuba zitaongezeka sana.

Tatizo anaamini sana design ya uongozi wa Magufuli gufuli ndiyo utamsaidia abaki madarakani awamu ijayo.

Lakini anasahau kuwa yeye siyo Magufuli.
 
Kuna mambo katika Taifa hili huwa yanafanyika mpaka unajiuliza, sisi ni Taifa la namna gani?

Mojawapo ya mambo yanayoonekana kutudhalilisha wote kama Taifa ni hili la katiba mpya.

Katiba ni ya wananchi wote, siyo ya wanasiasa na siyo ya vyama vya siasa.

Kinachoitwa kamati ya katiba, hiyo iliyotoa taarifa yake kwa Rais Samia, wajumbe wake na miongozo yake ya kufanya kazi, vimeandaliwa na Mutungi. Mutungi ni msajili wa vyama vya siasa. Ni sheria ipi, ni katiba gani imempa mamlaka msajili wa vyama vya siasa kushughulika na mambo ya katiba mpya? Mutungi ni nani kwenye suala la katiba mpya?

Tume ya Jaji Warioba, kuanzia kuundwa kwake na mchakato wote viliongozwa na sheria iliyotungwa na Bunge, haka kamati kalikoundwa na Mutungi, kameundwa kwa sheria gani?

Msajili wa vyama ashughulike na mambo yanayomhusu. Watanzania tusifanywe wajinga kwa kiwango hiki. Haya ni matumizi mabaya ya easilimali za Taifa.

Tume ya Warioba ilikwishatoa ripoti yake, na ilitamka wazi kuwa WATANZANIA WANATAKA KATIBA MPYA. HATA WALE AMBAO HAWAKUSEMA MOJA KWA MOJA KUWA WANATAKA KATIBA MPYA, MABADILIKO WANAYOYATAKA YANAAMAANISHA UWEPO WA KATIBA MPYA.

Kauli ya Rais Samia kusema kuwa wanaotaka katiba mpya ni watumiaji wa mitandao, watanzania hawataki katiba mpya, nayo ni kauli iliyokosa weledi. Kwani wanaotumia mitandao siyo Watanzania? Rais mwenyewe anatumia twitter, ina maana na yeye siyo Mtanzania?

Kauli na matendo ya viongozi yanaondoa kuaminiana. Tuheshimu maamuzi ya wananchi, hata kama hatuyapendi. Kiongozi mwenye busara na hekima, ni lazima, siku zote uangalie maamuzi ya wananchi, wananchi wanataka nini. Wanachokitaka wananchi, na ambacho walikwishakitolea maamuzi, ni lazima iwe ajenda ya kipaumbele cha kwanza kwa kiongozi yeyote mwenye busara na anayetambua majukumu ya kiongozi.

Hakuna haja ya vijikamati kwenye suala la katiba. Kamati iliyoundwa na Mutungi, msajili wa vyama vya siasa, halafu ikaenda kushughulika na suala la katiba mpya, ni ubatili, kamati yenyewe ni batili na hata maamuzi yake ni batili. Wananchi tunatakiwa kuyapuuza maana wananchi hawakuwahi kumpa Mutungi kazi ya kushughulikia katiba mpya iwe kwa kupitia sheria ya usajili wa vyama vya siasa, au kwa sheria nyingine yoyote ile.

Mod: naomba isomeke

MAPENDEKEZO YA KAMATI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUHUSU KATIBA MPYA, KISHERIA NA KIMANTIKI, NI BATILI.

Let’s just face it; Tanzanian opposition political parties are their own worst enemies!

Kwa aina ya wapinzani tulionao sasa hivi hapa nchini, ndoto ya kuiondoa CCM madarakani ni kama ndoto ya mchana kweupe. Wapinzani wamekuwa hawana ujanja wa kubaini na kukwepa mitego ya CCM, partly because they are divided.

Just in case some people don’t remember, ile task force iliyoundwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa iliundwa kwa mujibu wa makubaliano yaliyofikiwa katika mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa uliofanyika jijini Dodoma Desemba 15 hadi 17, 2021.

Hiyo task force ilipewa kazi ya kupitia hoja zilizojitokeza katika mkutano huo na kuandaa mapendekezo ambayo yangewasilishwa kwenye Baraza la Vyama vya Siasa, ambalo lingeyapitia na kuyawasilisha Serikalini.

Kimsingi, hiyo task force ina wajumbe ambao ni wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa, wakiwemo wajumbe wanaowakilisha vyama vya siasa vya upinzani.

Admittedly, vyama vichache vya upinzani, ikiwemo CHADEMA, vilikataa kuhudhuria huo mkutano, lakini ushiriki wa vyama vingine vya upinzani unalifanya zoezi la kukataa kuitambua hiyo task force kuwa gumu. Kumbuka, hakuna chama chenye kura ya turufu. Idadi kubwa ya vyama (majority) ikiridhia, imekula kwa wale wanaopinga!

Unfortunately, tangu reintroduction of multiparty democracy nchini, vyama vyote ambavyo vimewahi kuwa vyama vikuu vya upinzani vimeshindwa kabisa kuuongoza upinzani. Kimakosa, vimekuwa vikidhani kuwa havihitaji msaada wa vyama vingine vya upinzani.

I don’t think it takes a PhD holder to understand that alienating other opposition political parties is a grave mistake!

Tuweni wapole tu; upinzani utaendelea kujikaanga kwa mafuta yake wenyewe mpaka vyama vikuu vya upinzani vitakapotambua kwamba kila chama cha upinzani ni muhimu.
 
Back
Top Bottom