Alexmugisha
New Member
- May 8, 2024
- 3
- 1
Hello, mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu nasoma Shahada ya Kwanza (Masters Degree of Environmental Disaster Managament) mwaka wa pili.
Ombi langu ni kuhusu degree hii tunasoma lakini pia kuna waliotutangulia ambapo majanga yanatoke mengi na nchi hupata hasara while watu ambao wanateuliwa kusughulikia suala hili hawajasomea mambo hayo.
Mfano kuanzia ngazi ya kata hadi mkoa lakini pia taifa kwanini hii program haijapewa kipaumbele katika ajira ili kupunguza madhara ya majanga yanayoleta maafa kama kupoteza ndugu zetu, uharibifu wa mali, pia kupoteza makazi mfano kama ilivyotokea Hanang, Mafia na Tanga kwenye kimbunga Hidaya.
Kama ikiwezekana tunaomba lichapishwe wazo kama hili lifike ngazi za juu hili waliangalie suala hili kwa namna moja hama nyingine 🙏🙏