Zipo taarifa kutoka ndani ya mzunguko, CCM Taifa imeitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu usiku huu tarehe 04 Oktoba 2025. Wajumbe wanaletwa kwa ndege na helikopta.Baada ya TAMKO la Capt. C. J. Tesha kuwa amemuandikia CDF Jeshi lichukue nchi kabla mambo kuharibika.
Tumeona pia Kaimu msemaji wa JWTZ akiongea kwa CODEX kuhusu tamko hilo.
Zipo taarifa kutoka ndani ya mzunguko, CCM Taifa imeitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu usiku huu tarehe 04 Oktoba 2025. Wajumbe wanaletwa kwa ndege na helikopta.
Kampeni za CCM zinaweza kusitishwa kwa muda.....
Tega sikio hapa JF kwa updates sahihj zaidi
Acha wale posho za mwisho mwisho, dadek!
Nitaenda kujibebea mavitanda ya ikulu mie na furniture nipeleke gheto, acha tu waendelea kaza shingoAcha wale posho za mwisho mwisho, dadek!
Mama wana mtupa njeBabu, ni Ukweli au utani?
🙏Mkongwe
Usemacho ni sahihi zitakuja za kweli na za ubuyu.
Tuzichuje. Nitajitahidi kupata facts
As long as Serikali iliaamua kuzuia uhuru wa habari basi wajiandae na hii vitaKutakuwepo fake news nyingi sana wakati huu….