Mimi nitaanza na Jumanne Mulilo kudhaba makonde kwenye mdomo unaotoa uchafu kila akizungumza.Mda wa Polisi nao kuchezea vipigo
Mimi nitaanza na Jumanne Mulilo kudhaba makonde kwenye mdomo unaotoa uchafu kila akizungumza.Mda wa Polisi nao kuchezea vipigo
HEEEEEEEHEEEE! 'Sex' bhwanaaahhhh!Siyo utani mkuu. Nyumbani kwa cdf magari ni mengi mno yanaelekea hapo. Haijafahamika mara moja kama ni askari ama watu wa serikali ndiyo wanapenda kwake muda huu.
Mungu wetu wa mbinguni hajawahi kushindwa jambo
Wewe endelea hivyo hivyo na ujinga wako, ukifikiri Samia ataendelea kukufuga kama mfugo maisha yako yote.Watanzania sio watu wa kuwaamini na JF ni chini ya asilimia 1 ya Nchi nzima. Utajikuta peke yako barabarani.
Mimi hupenda kujuwa "vilaza" wa aina hiyo ya hao "KAMATI KUU" ni akina nani hasa; kwa majina. Hawa ndio wanaotuletea uozo mkubwa nchini ukianzia ndani ya hicho chama.Tega sikio hapa JF kwa updates sahihi zaidi
Any news, fake or otherwise against this regime is legitimate news. There's nothing to apologize for.Mkongwe
Usemacho ni sahihi zitakuja za kweli na za ubuyu.
Tuzichuje. Nitajitahidi kupata facts
Mamaezake 18 ndio nini si wamekaza fuvu waendelee kukaza hivyo hivyo wapasukeBorn town kasema, "mambo yameharibika." japo neno "sana" hajaliweka. Ngoja tuone inapovuja, ndani ya masaa 18.
Hivi kwanini nyie mashabiki wa siasa mnapenda kuamini kila mwenye mtazamo tofauti ni adui au ccm? Kama hisia zako zinakuficha kitu kidogo kama hicho, unajuaje ukionacho ni sahihi?HEEEEEEEHEEEE! 'Sex' bhwanaaahhhh!
Hapana, binafsi ningependa watuachie sisi wenyewe tushughulike na waovu hawa moja kwa moja. Wao (JW) wahakikishe tu kuwa mitutu ya akina Jumanne Mulilo na ACP Awadh imewekwa chini.
Mchezo huo utakuwa mzuri sana.
Wewe endelea hivyo hivyo na ujinga wako, ukifikiri Samia ataendelea kukufuga kama mfugo maisha yako yote.
Ukimbie wewe nani ana shida na wewe?Acheni kututisha jaman tuna watoto wadogo tutakimbiaje
Fake newsBaada ya TAMKO la Capt. C. J. Tesha kuwa amemuandikia CDF Jeshi lichukue nchi kabla mambo kuharibika.
Tumeona pia Kaimu msemaji wa JWTZ akiongea kwa CODEX kuhusu tamko hilo.
Zipo taarifa kutoka ndani ya mzunguko, CCM Taifa imeitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu usiku huu tarehe 04 Oktoba 2025. Wajumbe wanaletwa kwa ndege na helikopta.
Kampeni za CCM zinaweza kusitishwa kwa muda.....
Tega sikio hapa JF kwa updates sahihi zaidi
View attachment 3483496
BREAKING: Baada ya kapteni Tesha kuongea na Watanzania, viongozi waandamizi wa CCM wanapanga kufanya kikao cha Dharura usiku wa leo na Rais Samia. Walioitwa hawajui ajenda ni nini. Kuna ndege na Helicopters zinatafutwa kuileta Secretariet ya CCM pamoja usiku wa leo. Tunafatilia…Yeremia 48:25 SUV
"....Pembe ya Moabu imekatika, na mkono wake umevunjika, asema BWANA. Mlevyeni; kwa maana alijitukuza juu ya BWANA..."
Mwisho wa Moabu (Samia na genge lake ni huu). Pembe yake (mamlaka yake) yameanguka, mkono wake (nguvu alizozitegemea: wachawi, waganga na waaguzi, wasoma nyota, majini, Polisi, TISS na JWTZ na Wasiojulikana) wamevunjika (pigwa na kufutiliwa mbali na nguvu za Mungu Mkuu mwenye enzi katika Yesu KRISTO)
Tuliwaambia kuwa hakutakuwa na uchaguzi mwaka huu, wakabisha. Sasa endeleeni kupoteza muda wetu, fedha za umma, ibeni sana na chezeni tu hayo makida makida yenu ya mnayoita "kampeni za uchaguzi", lakini the fact ni kuwa ni mbio zinazokwenda kuishia kwenye ukingo wa sakafu tu...!!!
wale ni wa kuwapiga kama wao wanavyo onea raia. Na mwisho wao kuwaweka kwenye karandiga za magereza na kuwachoma moto wafe liveMimi nitaanza na Jumanne Mulilo kudhaba makonde kwenye mdomo unaotoa uchafu kila akizungumza.
Naona habari ya Tesha imekuvuruga kiasi kwamba Kila post lazima uchangie kitu ambacho si kawaida yako.Kutakuwepo fake news nyingi sana wakati huu….