Tetesi: Kamati Kuu CCM kukutana usiku huu. Wajumbe wanaletwa kwa ndege na helikopta

Kwanza wasiendelee mpotezea Lissu mda, wamuachie
Na Lissu akiachiwa katika hiki kipindi mbona watakuwa wamejikaanga wenyewe.

Kwasababu Lissu hatohitaji kwenda dressing room kuvaa jezi, ni moja kwa moja kwenye pitch na upande anaocheza ni left wing ambao full back wa kulia wa upinzani ni mdhaifu hajui kukaba.
 
Waziri wa sheria ajaye. Aturekebishie katiba yetu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Hakuna namna lazima aachiwe .. na lazima wafungwe na wengine kunyongwa
 
Yeremia 48:25 SUV
"....Pembe ya Moabu imekatika, na mkono wake umevunjika, asema BWANA. Mlevyeni; kwa maana alijitukuza juu ya BWANA..."
​

Mwisho wa Moabu (Samia na genge lake ni huu). Pembe yake (mamlaka yake) yameanguka, mkono wake (nguvu alizozitegemea: wachawi, waganga na waaguzi, wasoma nyota, majini, Polisi, TISS na JWTZ na Wasiojulikana) wamevunjika (pigwa na kufutiliwa mbali na nguvu za Mungu Mkuu mwenye enzi katika Yesu KRISTO)

Tuliwaambia kuwa hakutakuwa na uchaguzi mwaka huu, wakabisha. Sasa endeleeni kupoteza muda wetu, fedha za umma, ibeni sana na chezeni tu hayo makida makida yenu ya mnayoita "kampeni za uchaguzi", lakini the fact ni kuwa ni mbio zinazokwenda kuishia kwenye ukingo wa sakafu tu...!!!
 
Jasusi la mbinguni inabidi lijitokeze na kutoa neno la kinabii...
 
Ni wakati mzuri wa kuwazingirana kuwaweka kizuizini kwa uhaini na ufisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…