Tetesi: Kamati Kuu CCM kukutana usiku huu. Wajumbe wanaletwa kwa ndege na helikopta

Siyo utani mkuu. Nyumbani kwa cdf magari ni mengi mno yanaelekea hapo. Haijafahamika mara moja kama ni askari ama watu wa serikali ndiyo wanapenda kwake muda huu.

Mungu wetu wa mbinguni hajawahi kushindwa jambo
HEEEEEEEHEEEE! 'Sex' bhwanaaahhhh!

Hapana, binafsi ningependa watuachie sisi wenyewe tushughulike na waovu hawa moja kwa moja. Wao (JW) wahakikishe tu kuwa mitutu ya akina Jumanne Mulilo na ACP Awadh imewekwa chini.

Mchezo huo utakuwa mzuri sana.
Watanzania sio watu wa kuwaamini na JF ni chini ya asilimia 1 ya Nchi nzima. Utajikuta peke yako barabarani.
Wewe endelea hivyo hivyo na ujinga wako, ukifikiri Samia ataendelea kukufuga kama mfugo maisha yako yote.
 
Tega sikio hapa JF kwa updates sahihi zaidi
Mimi hupenda kujuwa "vilaza" wa aina hiyo ya hao "KAMATI KUU" ni akina nani hasa; kwa majina. Hawa ndio wanaotuletea uozo mkubwa nchini ukianzia ndani ya hicho chama.

Mwenye kujuwa hawa watu kwa majina tafadhali, yaweke hapa.
 
Mkongwe
Usemacho ni sahihi zitakuja za kweli na za ubuyu.

Tuzichuje. Nitajitahidi kupata facts
Any news, fake or otherwise against this regime is legitimate news. There's nothing to apologize for.
They thrive on deceit and deception in their dealings with people's affairs; why should we be concerned when the same is directed at them?
 
Hivi kwanini nyie mashabiki wa siasa mnapenda kuamini kila mwenye mtazamo tofauti ni adui au ccm? Kama hisia zako zinakuficha kitu kidogo kama hicho, unajuaje ukionacho ni sahihi?

I don't expect you to reply anything of value, of course.
 
Fake news
 
BREAKING: Baada ya kapteni Tesha kuongea na Watanzania, viongozi waandamizi wa CCM wanapanga kufanya kikao cha Dharura usiku wa leo na Rais Samia. Walioitwa hawajui ajenda ni nini. Kuna ndege na Helicopters zinatafutwa kuileta Secretariet ya CCM pamoja usiku wa leo. Tunafatilia…
 
Mimi nitaanza na Jumanne Mulilo kudhaba makonde kwenye mdomo unaotoa uchafu kila akizungumza.
wale ni wa kuwapiga kama wao wanavyo onea raia. Na mwisho wao kuwaweka kwenye karandiga za magereza na kuwachoma moto wafe live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…