GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025

GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Jimbo la Peramiho. Naniliu kakatwa ili iwe rahisi Jenister kupita.
Dooh
 
(ii) Jimbo la Mlimba

1. Kellen Rose RWAKATARE
2. Dionisia Kidowele DANDA
3. Hamis Karim NG’ONG’OZO
4. Joseph Antony LINGENDEO
5. Andrew Andrew ALYAMUHINDI
6. Faraji Jumanne ZEGEGE
7. Acley Jastus MHENGA
TUWAOMBEE watanzania hawa genuine
 
Yaani Jah kaya kabisa akubali mke na mwanaye wapate washindani naye ndiye mwenye nchi? Thubutuu
Hujaelewa hata mantiki yangu, unajua maana mpinzani kivuli tu au pazia kwa ajili ya kuwaadaha wanainchi?
 
hivi tunajua kuwa tunafuga mamba tukidhani ni kenge? leo Ester Bulaya anapambanishwa na Kambarage Wasira mtoto wa hasimu wake, hivi mnajua ni namna gani wasira alivyodhoofika kwa kushindwa na ester nusura watoto walale mjaa crdb nao kidogo wamtoe roho.

Sio hilo tu, kuna mtoto mmoja anatangaza hadharani kuwa atamdhuru hasimu wa baba yake, anatumia kila aina ya nguvu babayake keshapiga simu lika kona akimpambania mwanae, sidhani kama hii ni sawa!

ili kuepuka prolonged hateness nivyema hawa wagombea wangetenganishwa majimbo kuondoa uhasama wa kisiasa usivuke generation
 
Familia ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN
1. Mtoto - Wanu Hafidh Ameir
Jimbo: Makunduchi, Zanzibar



Familia ya RAIS MSTAAFU MRISHO KIKWETE
1. Mke - Salma Kikwete
Jimbo - Mchinga

2. Mtoto - Ridhiwani Kikwete
Jimbo - Chalinze



Familia ya Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo pinda
1. Mtoto - Geophrey Privatus Mizengo Pinda
Jimbo - Kavuu

2. Mtoto - Sylivanus Mizengo Ole Pinda
Jimbo - Ngorongoro



Familia ya Mzee Wasira
1. Mtoto - Kambarage Masato Wasira
Jimbo - Bunda Mjini


Familia ya Hayati Rais Ali Hassan Mwinyi ambaye pia mtoto wake ni Rais wa Zanzibar (Hussein Mwinyi )
1. Mtoto - Abasi Ali Mwinyi
Jimbo - Fuoni, Zanzibar

2. Mtoto - Fahmy Ali Mwinyi
Jimbo - Mwanakwerekwe, Zanzibar

3. Mtoto - Asma Ali Mwinyi
Jimbo - Welezo, Zanzibar

4. Mtoto - Abdulla Ali Mwinyi
Jimbo- Mahonda, Zanzibar
boss ongezea
  • Eng Sundi Malomo
  • Jannet Joseph
  • Lau Masha
  • Kisyeri Chambiri

kimsingi kama hautoki familia za waganga au za kichif utarogwa tu
 
Back
Top Bottom