Kamati kuu CHADEMA ina wajumbe wangapi? Wa Lissu na Wa Mbowe wangapi?

Kamati kuu CHADEMA ina wajumbe wangapi? Wa Lissu na Wa Mbowe wangapi?

Judi wa Kishua

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2012
Posts
1,159
Reaction score
1,274
Nimeuliza ili swali nipime utendaji kazi wa Lissu utakuwaje.

Pia apart from idadi ya wajumbe wa kamati kuu ya chama. Je, kamati kuu ina nguvu gani kwenye chama?
Naomba nifamishwe maana nilimsikia kwa Kikeke TAL anasema kuhusu reconciliation ameambiwa afanye hivyo na atafanya ila yeye anaamini katikati review ya katiba ndio reconciliation.
Tukijua idadi na majukumu tunaweza ona hesabu za watu kama Wenje atawadhibiti vipi ambao ni wazi hawatampa ushirikiano.
 
Back
Top Bottom