SI KWELI Kamati kuu chadema yaahirisha kikao baada ya katibu mkuu kujiuzulu

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Sasa mkuu yeye anaongelea kikao gani cha kamati kuu wakati kikao kilishafanyika tayari na CDM wametoa misimamo Yao,,,,au hicho kikao anachokiongelea huyo popoma ni cha kumtafuta Mzee Ima?
 
Sasa mkuu yeye anaongelea kikao gani cha kamati kuu wakati kikao kilishafanyika tayari na CDM wametoa misimamo Yao,,,,au hicho kikao anachokiongelea huyo popoma ni cha kumtafuta Mzee Ima?
napambania issue ya joined
 
Tuwekee hiyo barua ya kujiuzulu kwake. Nje ya hapo tutaamini hii ni porojo.
 
napambania issue ya joined
Ok, inategemea na wewe joined yako umekuja na kitu gani, sasa huyu kajoin juzi tu alafu analeta habari za kikao cha chama kimeahorishwa wakati kikao Tayari kimeshafanyika kimepita Yani imeonyesha hii account ipo kimkakati na ndiyo zao la wapuuzi kama kina Tlaatlaah na mwenzie Lucas Mwashambwa
 
Reactions: Lax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…