Kamati Kuu ya CCM fanyeni maamuzi magumu. Mpumzisheni Rais Samia, Serikali yake ni kigeugeu!

Hahaaaaa!!! Shida Iko pale kwenye kofia mbili!!!

Yaani aongoze aongoze kikao Cha kumuondoa Yeye mwenyewe!!!

Labda Chama Cha Mapinduzi kujipindue chenyewe kama Jina lao lilivyo.
ccm ni wajanja sana.hilo waliliona tangu mapema kwamba rais ni lazima awe na kofia mbili ili asiweze kuondolewa ndani ya vikao vya chama.
 
ccm ni wajanja sana.hilo waliliona tangu mapema kwamba rais ni lazima awe na kofia mbili ili asiweze kuondolewa ndani ya vikao vya chama.
Mchonga ndo alikuwa na MAONO.

Hawa wa sasa, ni suala la muda tu!!!
Mapaka yataanza kugombania chakula Kwa sahani!!!!
 
Tena wafanye hivyo haraka sana tumechoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…