Uchaguzi 2020 Kamati Kuu ya CCM itakutana lini kutangaza tarehe za kutolewa fomu za wagombea urais Zanzibar? Muda unaenda ujue!!

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Mada hapo juu yahusika. Nashangaa kuna ukimya sana ilihali uchaguzi upo palepale mwezi October.

Dr. Shein anamaliza muda wake, sioni wala sisikii cherekochereko za kumtafuta mrithiwe. Ndiyo maana mie Freed nauliza kamati kuu CCM mbona kimya sana?
 
Uchaguzi october, sasa fomu may ili iwe nini?

Sept yatosha kuanza mchakato.

Sent using iphone pro max
 
Rais wa znz anachaguliwa dodoma mwezi wa saba,japo anajulikana,lazima awe loyal kwa MEKO
Binafsi namkubali SHAMSI vuai naodha (atakatwa mapema)
 
Mada hapo juu yahusika. Nashangaa kuna ukimya sana ilihali uchaguzi upo palepale mwezi October.

Dr. Shein anamaliza muda wake, sioni wala sisikii cherekochereko za kumtafuta mrithiwe. Ndiyo maana mie Freed nauliza kamati kuu CCM mbona kimya sana?
Nawaza gonjwa hili na sukari kuadimika Ramadhani hii [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamalizia taratibu za kumrudishia Membe uanachama wake ndio ije na hizo habari zingine
 
Rais wa znz anachaguliwa dodoma mwezi wa saba,japo anajulikana,lazima awe loyal kwa MEKO
Binafsi namkubali SHAMSI vuai naodha (atakatwa mapema)
Sio lazima awe loyal kwa Magu, Hata kikwete anaweza fanya yake na watu wake wa karibu. Mkapa pia sio wa kupuuzwa.
 
Tusijipotezee wakati, Zanzibar kama kawaida hawamchagui Raisi wao, bali anachaguliwa na system na wao wanashawishiwa kumpigia kura ya ndio.

Na hilo naona safari limo kwenye hali ya matatizo, huenda tukaona mama samia akaombwa akagombee, kwani Magu hamtaki awe mgombea mwenza, mama kamzidi kete ya kupendwa na umma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raisi wa zanzibar wa nini?bora ungesema wa bara maana aliyepo kazingua sana!!wa zanzibar kazi ndogo hata mimi the breed natosha kabisa kula tende na marashi ya karafuu huku nikiwaoa wapemba weengi kwa raha zangu!!!!
 
Mada hapo juu yahusika. Nashangaa kuna ukimya sana ilihali uchaguzi upo palepale mwezi October.

Dr. Shein anamaliza muda wake, sioni wala sisikii cherekochereko za kumtafuta mrithiwe. Ndiyo maana mie Freed nauliza kamati kuu CCM mbona kimya sana?
Ccm ina ratiba yake huwa haikurupuki wala kupangiwa kama unavyotaka wewe
 
Back
Top Bottom