Uchaguzi 2020 Kamati Kuu ya CCM itakutana lini kutangaza tarehe za kutolewa fomu za wagombea urais Zanzibar? Muda unaenda ujue!!

Uchaguzi 2020 Kamati Kuu ya CCM itakutana lini kutangaza tarehe za kutolewa fomu za wagombea urais Zanzibar? Muda unaenda ujue!!

Hatutokuwa na uchaguzi kwa muda uliopangwa kutokana na kapandemic disease kanakotusumbua sasa mana katachelewa sana kuondoka na kumalizika kabisa(Sauti kutoka kwenye kipadi na vidole vyangu ha ha ha )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada hapo juu yahusika. Nashangaa kuna ukimya sana ilihali uchaguzi upo palepale mwezi October.

Dr. Shein anamaliza muda wake, sioni wala sisikii cherekochereko za kumtafuta mrithiwe. Ndiyo maana mie Freed nauliza kamati kuu CCM mbona kimya sana?
Hujui kwamba uchaguzi 2020 haupo?
 
Hahaha kiswahili kipya "Mwenyekiti yuko zake chimbo kuwa na subira= "Mwenyekiti koyu keza mbochi kuwa na Subira"
Kwa uoga wake sidhani kama ataitisha NEC ya CCM. Pia mkutano mkuu wa chama mwaka huu sahau
 
Back
Top Bottom