Mzururaji
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,558
- 1,273
Mano likwelikweMwenyekiti koyu keza mbochi kuwa na subira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mano likwelikweMwenyekiti koyu keza mbochi kuwa na subira
Yuko zake chimboHusomeki
This time wamechelewa sana, huwa nafuatilia ratibaCcm ina ratiba yake huwa haikurupuki wala kupangiwa kama unavyotaka wewe
Magu kasema uchaguzi upo palepale kama Burundi vileHatutokuwa na uchaguzi kwa muda uliopangwa kutokana na kapandemic disease kanakotusumbua sasa mana katachelewa sana kuondoka na kumalizika kabisa(Sauti kutoka kwenye kipadi na vidole vyangu ha ha ha )
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui kwamba uchaguzi 2020 haupo?Mada hapo juu yahusika. Nashangaa kuna ukimya sana ilihali uchaguzi upo palepale mwezi October.
Dr. Shein anamaliza muda wake, sioni wala sisikii cherekochereko za kumtafuta mrithiwe. Ndiyo maana mie Freed nauliza kamati kuu CCM mbona kimya sana?
UpoHujui kwamba uchaguzi 2020 haupo?
Hahaha kiswahili kipya "Mwenyekiti yuko zake chimbo kuwa na subira= "Mwenyekiti koyu keza mbochi kuwa na Subira"Husomeki
Kwa uoga wake sidhani kama ataitisha NEC ya CCM. Pia mkutano mkuu wa chama mwaka huu sahauHahaha kiswahili kipya "Mwenyekiti yuko zake chimbo kuwa na subira= "Mwenyekiti koyu keza mbochi kuwa na Subira"
Magu kasema uchaguzi upo palepale kama Burundi vile