Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Nachojua ndiye mgombea wa upinzani, sasa CCM wanasubiriwa watamtoa nani apambanenaye.Hapo Rais ajaye ni maalim seif afe kipa au afe beki ccm bye bye.
Kampeni huwa zinaanza mwezi wa 8Uchaguzi october, sasa fomu may ili iwe nini?
Sept yatosha kuanza mchakato.
Sent using iphone pro max
Nawaza gonjwa hili na sukari kuadimika Ramadhani hii [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Mada hapo juu yahusika. Nashangaa kuna ukimya sana ilihali uchaguzi upo palepale mwezi October.
Dr. Shein anamaliza muda wake, sioni wala sisikii cherekochereko za kumtafuta mrithiwe. Ndiyo maana mie Freed nauliza kamati kuu CCM mbona kimya sana?
Sio lazima awe loyal kwa Magu, Hata kikwete anaweza fanya yake na watu wake wa karibu. Mkapa pia sio wa kupuuzwa.Rais wa znz anachaguliwa dodoma mwezi wa saba,japo anajulikana,lazima awe loyal kwa MEKO
Binafsi namkubali SHAMSI vuai naodha (atakatwa mapema)
HusomekiMwenyekiti koyu keza mbochi kuwa na subira
Membe atarudishwa 2023Inamalizia taratibu za kumrudishia Membe uanachama wake ndio ije na hizo habari zingine
Mada ya sukari ianzishe ya kujitegemea mdauNawaza gonjwa hili na sukari kuadimika Ramadhani hii [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Sent using Jamii Forums mobile app
GT kanielewaAnzisha
Mada ya sukari ianzishe ya kujitegemea mdau
Ingependeza, lakini sidhani kama itatokea. Na huyu Maalim Seif mnaempifia Debe mtakuja mchukia vibaya sana, sio kiongozi mzuri hata kidogo, ana kibiri sana.Hapo Rais ajaye ni maalim seif afe kipa au afe beki ccm bye bye.
Ccm ina ratiba yake huwa haikurupuki wala kupangiwa kama unavyotaka weweMada hapo juu yahusika. Nashangaa kuna ukimya sana ilihali uchaguzi upo palepale mwezi October.
Dr. Shein anamaliza muda wake, sioni wala sisikii cherekochereko za kumtafuta mrithiwe. Ndiyo maana mie Freed nauliza kamati kuu CCM mbona kimya sana?
Mzee Mbatia hivi tayari ushaipiga bei NCCR ..maskini NCCR..!!Wakutane kumteua Maalim Seif kama walivyofanya TLP na NCCR kumteua jiwe