Kamati Kuu ya CCM vs Kamati Kuu ya CHADEMA

Kamati Kuu ya CCM vs Kamati Kuu ya CHADEMA

Mtumishiwetu

Senior Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
196
Reaction score
346
Kuna mjadala mpana nimeukuta mahali kuhusu mgawanyo wa nafasi za Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama umezingatia umoja wa kitaifa bila ubaguzi wa dini, jinsia, kanda na makabila.
Kwa upande wa CCM Wajumbe wa Kamati Kuu wa kuteuliwa


1: Mizengo Pinda (Waziri Mkuu mstaafu),
2. Hassan Wakasuvi (mwenyekiti CCM Tabora),
3. Halima Mamuya ambaye aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa umoja wa wanawake Tanzania.

Kwa upande wa Zanzibar

1: Mohamed Abood Mohamed,
2: Injinia Nasri Ally
3: Leyla Burhan Ngozi

Wajumbe wa Kamati Kuu wanaoingia kwa nafasi zao
1. Dk. Samia Suluhu Hassan ( Mwenyekiti)
2. Komredi Abdulrahaman Kinana (Makamu Mwenyekiti)
3. Daniel Chongolo (Katibu Mkuu)
4. Sophia Mjema (Katibu wa Itikadi na Uenezi)
5. Dkt. Hussein Mwinyi ( Rais wa Zanzibar)
6. Dkt. Philip Isdor Mpango ( Makamu wa Rais)
7. Hemed Suleiman Abdulla ( Makamu wa Pili wa Rais- SMZ)
8. Dkt. Tulia Ackson (Spika wa Bunge JMT)
9. Zubeir Ali Maulid (Spika wa Baraza la Wawakilishi)
10. Annamringi Macha, (Naibu Katibu Mkuu Bara)
11. Mohamed Said Dimwa (Naibu Katibu Mkuu Zanzibar)

Naomba orodha ya upande wa CHADEMA ya Wajumbe wa Kamati Kuu ninaowajua kwa harakaharaka. Wengine tujazie

1. Freeman Mbowe (Mwenyekiti)
2. Tundu Lissu ( Makamu Mwenyekiti Bara)
3. John Mnyika (Katibu Mkuu)
4. Mchungaji Peter Msigwa
5. John Heche
6. Joseph Mbilinyi
 
Chadema inawapa sana ulaji hapo Lumumba eeeh [emoji23][emoji23][emoji23] . Kutwa nzima ni chadema tu alafu wanaoiandika ni chawa wa kijani ... Mbona sisi hatuhangaiki na Lumumba yenu ??? Yaani ccm ndo mnaongoza kuitaja chadema kuliko sisi wana wa chadema...alafu hapo hapo utasikia mjinga mmoja anaitwa mgonjwa mtambuka anasema CHADEMA imekufa [emoji12][emoji12][emoji12] inakufaje wkt mpo mnaoieneza kwa nguvu hivyo? Chadema ka chips kuku ... chadema ka pilau kuku .. chadema ka wali kuku [emoji23][emoji23][emoji23] hata mgonjwa akitaka kupona lazima ale hivyo vyakula ...ndo hivyo hivyo ccm wakitaka mkono uende kinywani ni lazima waiandike chadema kwa namna yyte ile .... hapana chezea chadema weyee .. people'ssssssssssss ???
Itikia hapo hapo ulipo kuwa
Poweeeeeeeeeeeeer [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mjadala mpana nimeukuta mahali kuhusu mgawanyo wa nafasi za Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama umezingatia umoja wa kitaifa bila ubaguzi wa dini, jinsia, kanda na makabila.
Kwa upande wa CCM Wajumbe wa Kamati Kuu wa kuteuliwa
Unataka nini hasa
 
Chadema inawapa sana ulaji hapo Lumumba eeeh [emoji23][emoji23][emoji23] . Kutwa nzima ni chadema tu alafu wanaoiandika ni chawa wa kijani ... Mbona sisi hatuhangaiki na Lumumba yenu ??? Yaani ccm ndo mnaongoza kuitaja chadema kuliko sisi wana wa chadema...alafu hapo hapo utasikia mjinga mmoja anaitwa mgonjwa mtambuka anasema chadema imekufa [emoji12][emoji12][emoji12] inakufaje wkt mpo mnaoieneza kwa nguvu hivyo ??? Chadema ka chips kuku ... chadema ka pilau kuku .. chadema ka wali kuku [emoji23][emoji23][emoji23] hata mgonjwa akitaka kupona lazima ale hivyo vyakula ...ndo hivyo hivyo ccm wakitaka mkono uende kinywani ni lazima waiandike chadema kwa namna yyte ile .... hapana chezea chadema weyee .. people'ssssssssssss ???
Itikia hapo hapo ulipo kuwa
Poweeeeeeeeeeeeer [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha porojo nyingii,jibu hoja ya mleta mada!

Taja hiyo orodha aliyooomba kuiona kama ipo?

Mkiambiwa CDM ni kama Genge mnakataaa!
 
Back
Top Bottom