johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Uongohakujiamulia ulikua ni msimamo wa chama.
Comrade una swali lingine?
Lina msingi wa kisheria Lisu alivunja katiba ya CHADEMA kujitamkia kuwa anaunga mkono mgombea urais wa chama kingine bila kupata ridhaa ya kamati kuu na mkutano mkuu wa CHADEMASwali halina misingi ya kisheria. Una swali lingine?
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema baada ya Kamati kuu kukaa kikao,kimeona ni sahihi kwa chama hicho kumuunga mkono Mgombea Urais kupitia Act Wazalendo kwa upande wa Zanzibar Maalim Seif Sharif.
''Sisi kama Kamati kuu tumeridhika na kauli mbalimbali zilitolewa na viongozi wa vyama vyetu hususani CHADEMA na ACT-Wazalendo na baada ya kushauriana na mgombea wetu wa zanzibar Mhe.Said Issa Mohammed tumeona ni sahihi kwa Chama chetu kumuunga mkono Seif Sharif Hamad''amesema Freeman Mbowe
Ni mkutano mkuu ndio ulitakiwa uamue mgombea urais Zanzibar kupitia CHADEMA ajitoe sababu ndio waliomchagua na kumwidhinisha kamati kuu ilipeleka pendekezo tu la majina .
Unaweza kuweka kifungu cha katiba ya CHADEMA kinachosema ni Mkutano Mkuu ndio ulitakiwa kuamua kufanya hivyo?Ni mkutano mkuu ndio ulitakiwa uamue mgombea uraisi Zanzibar kupitia CHadema AJITOE SABABU NDIO ULIOMCHAGUA na kumwidhinisha kamatti kuu ilipeleka pendekezo tu la majina .
Mkutano mkuu ndio ulitakiwa kutoa tamko sio kamati kuu
Mkutano mkuu ndio huteua mgombea uraisi hivyo ni automatic ndio wenye uwezo wa kutengua ugombea sio LISU na mdomo wakeUnaweza kuweka kifungu cha katiba ya CHADEMA kinachosema ni Mkutano Mkuu ndio ulitakiwa kuamia kufanya hivyo?!
Kupitia kikao gani msimamo huo ulifikiwa bwashee?hakujiamulia ulikua ni msimamo wa chama.
Comrade una swali lingine?
Wewe huwa unaniona ukiwa wapi bwashee?Hivi huwa unafanyakazi muda gani?
Maana muda wote unazurura tu humu.
Hawa vibaka wao kazi yao wanapewa vocha na bado basiTrillion 1.5 zipo wapi nyinyi mafisadi?
Rabeka bint yangu!Babu