Kamati Kuu ya CHADEMA haina meno. Mbona Tundu Lissu alijiamulia tu kumuunga mkono Maalim Seif na haikumfanya chochote?

Naunga mkono hoja!
 
Hakuna mwenye uwezo wa kumhoji Lissu kwa Chadema ya Sasa.
Kama hela za umma zilipigwa na ulikuwa kimya utatufananisha na sisi, Yani CAG anasema Trillion 1.5 zimepigwa lakini umeona sawa!
 
hakujiamulia ulikua ni msimamo wa chama.

Comrade una swali lingine?
Tutajie ni kikao kipi chenye mamlaka ya kubadili maamuzi ya baraza kuu na kilifanyika wapi? Kama maamuzi ya baraza kuu ya chama yanaweza kubadilishwa mtu mmoja tu, hiyo demokrasia iko wapi ndani ya chama chenu?
 
Waulize watakwambia, Dar nzima imejaa Rombo annex, green view, gargen n.k
Warombo mnafanana na wakinga kwa makafara.....lazima muanze na kiosk au kubrush viatu wakinga huanza na meza ya sokoni!
 
Chadema hii ya akina salary slip haina uwezo wowote wa kuhoji maamuzi yanayofanyika na viongozi wao
 
Tutajie ni kikao kipi chenye mamlaka ya kubadili maamuzi ya baraza kuu na kilifanyika wapi? Kama maamuzi ya baraza kuu ya chama yanaweza kubadilishwa mtu mmoja tu, hiyo demokrasia iko wapi ndani ya chama chenu?
Swali zuri sana mkuu!
 
Mkutano mkuu ndio huteua mgombea uraisi hivyo ni automatic ndio wenye uwezo wa kutengua ugombea sio LISU na mdomo wake
Look at you...

Kwahiyo Tundu Lissu ndie Kamati Kuu, au?!

Na una-assume kwavile ni Mkutano Mkuu ndio huteua mgombea basi automatically ndio wenye uwezo wa "kutengua"?!

Btw, ugombea wa Mgombea wa ZNZ ulitenguliwa au Mgombea husika ALISHAURIWA kumuunga mkono Maalim Seif nae akakubali?! Hivi unajua tofauti kati ya kutenguliwa na kushauriwa kumuunga mkono fulani huku Mgombea mwenyewe akiwa ndie mwenye maamuzi ya mwisho?!

Kama hufahamu, basi rejea suala la Membe ambae yeye alishauriwa kumuunga mkono TL lakini hakuafiki, na kwahiyo aliendelea kuwa mgombea wa ACT!
 
Warombo mnafanana na wakinga kwa makafara.....lazima muanze na kiosk au kubrush viatu wakinga huanza na meza ya sokoni!
Kwa babu kama wewe unashinda JF unapewa bando na CCM, unalipwa elf 5 kwa siku, unategemea kuwa tajiri kwa ujinga huu? nionye mrombo mmoja ambaye yupo bar muda huu au uvuvi kama wewe.
 
Hawawezi kukuelewa hao jamaa kwa sababu wamelewa figisu & shari. Maana ya katiba kwao ni njia ama mfumo wowote ilimradi uwafeve wao na kuiondoa Sisiemu madarakani. Hawana taimu na mengine. Don't forget ileeee "LIST OF SHAME" na "usafishaji!" Ndiyo maana Dkt. JPM anasemaga "Tumecheleweshwa sana!"
 
Kwa babu kama wewe unashinda JF unapewa bando na CCM, unalipwa elf 5 kwa siku, unategemea kuwa tajiri kwa ujinga huu? nionye mrombo mmoja ambaye yupo bar muda huu au uvuvi kama wewe.
Wewe uko kwenye meza unauza k vantee hapo kituo cha vifodi nakuona manka!
 
Kosa na ukiukwaji wa katiba ulianzia hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…