Kamati Kuu ya CHADEMA haina meno. Mbona Tundu Lissu alijiamulia tu kumuunga mkono Maalim Seif na haikumfanya chochote?

Sasa wewe MATAGA utajuaje kama alichosema Lissu hakikuwa msimamo wa chama/Kamati Kuu?
 
Lissu ni mbabe na asie na staha kwa wenzake. Hujiona yeye ndio Alfa na Omega. Hata hili la viti maalum naamini ni ubabe wake tu. Yeye anaishi kwa sponsor Belgium afu analazimisha wenzake wakaange injini kwa 5 tena. Angebaki tupigike sote tumuamini.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Nimekuelewa sana mkuu.

Yeye anakula bata uzunguni halafu anataka wenzake wasitimbe bungeni!
 
Kumponda Lissu kwa usaliti wa Maalim kwa Wazanzibar sio sawa
 
Mtoa hoja rudia tena kuisikiliza hotuba ya Lissu.
 
You are just an idiot, leave CDM alone!
 
Umekuwa muuongo sana ndugu yangu. Unafaidika na nini kuwa muongo hapa jukwaani.
Msikilize Mwenyekiti Mbowe ndio utajua yale yalikuwa maamuzi ya chama.

 
Kikao cha kumshauri kilikaa wapi na lini? Hiyo ni taasisi inayopigania kushika madaraka ya nchi kwahivo kila uamuzi lazima wananchama wajulishwe tena kwa vikao halali. Siyo Lisu anaenda tu zanzibar na kusema tumeamua iwe hivi! Mmeamua wewe na nani, na wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…