Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwa dharula tarehe 22/7/2021

Tumekuwa tukishauri wapinzani nchini mabadiliko ya kweli yataanza kwa watanzania kupata Elimu nzuri ya uraia, watanzania kutambua haki zao za msingi Kikatiba, kisheria.
Watanzania wakiwaelewa haki zao watazisimamia wao wenyewe bila hata kuhamasishwa.
 
Tumekuwa tukishauri wapinzani nchini mabadiliko ya kweli yataanza kwa watanzania kupata Elimu nzuri ya uraia, watanzania kutambua haki zao za msingi Kikatiba, kisheria.
Watanzania wakiwaelewa haki zao watazisimamia wao wenyewe bila hata kuhamasishwa.
Mkidhibiti asasi za kiraia na mikutano na makongamano mnadhani ni wapi ambako wananchi watapata elimu hiyo ?
 
Siku kama hizi ninamkumbuka sana mzalendo El Comandante hayati JPM....

ALISEMA TUTAMKUMBUKA...

NINAMKUMBUKA kama mtuliza nchi pale "wajinga" wanapotaka "kuleta taharuki"....

#KaziInaendelea
 
Bado haijafahamika ajenda zitakazojadiliwa ,
Ajenda ya mkutano huo inaweza kuwa moja tu:
Kupelekwa mahabusu kwa viongozi wa CHADEMA iwe beji ya heshima badala ya kuiona kama ni mwisho wa maisha yao.

Ukitaka uongozi CHADEMA ni lazima ukubali kupitia kwenye tanuru hilo upate heshima.

CCM wametumia sana kuweka watu mahabusu kuwa ndiyo kinga kwao na kuwatia woga viongozi wasiweze kushiriki kwenye mapambano ya ukombozi huu mpya wa kuiondoa CCM madarakani kwa nguvu za wananchi.
 
EeenHeee,
Sasa inabidi niulize hili swali: Una undugu na Msiba, yule chawa wa Magufuli?

Mambo yenu yanafanana sana, ni maji mnayokunywa mkiwa wadogo ndiyo yanayosababisha mfanano huu?
Wewe una undugu na Sugu au Heche, machawa wa makengeza mbowe ?

Shida nini mpaka mnakuwa misukule hivi, mnashindwa kutumia akili zenu wenyewe mpaka mnakuwa wafuasi wa mtu aliyetaga.
 
Vile wanawaza na kutamani juu ya kuvamia mkutano wa kamati kuu pia![emoji16][emoji16][emoji16]
 
Siasa bwana ni mchezo mchafu lakini amino nawaambia Mungu anawaona.

Pole kwa Msiba ingawa tulizuiwa kushiriki kwasababu ya kuokoa watu na maambukizi niliona kama upo makini kumbe ulikuwa siasa!

Sasa haya mnayoyafanya mbona yanapingana na Ile mliyotuaminisha kwamba kukusanyika ni hatari?
 
mmedekezwa na kuchezea sharubu za maza, natamani awaonyeshee shoo kidogo ili akili ziwakae sawa. ukichezea nyani mahindi yote yataliwa. hamnaga akili tatizo.
 
Ujinga ni sehemu ya maisha, lakini ukizidi unaitwa upumbavu! Ni vizuri ukajifunza kuficha ujinga wako ndani ya kichwa chako!
 
Huna lolote wewe njaa,wivu na ujinga ndivyo vinavyokusumua.
 
Kamati ya harusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…