Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwa siku mbili

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii hapa ndio Taarifa yao waliyoisambaza kote Duniani

Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana Dar es Salaam katika kikao chake cha kawaida. Kikao hicho cha siku mbili kitaanza kesho Jumanne, Septemba 17 mpaka 18, 2024 Jijini Dar es Salaam. Pamoja na masuala mengine kikao hicho kitajadili na kupokea;


Updates:
=======

Viongozi wa Chadema Wakiwasili



Wakaanza na Dua kabambe



Baadhi ya Watia nia Kanda ya Pwani wakiwa Kiroho Juu Nje ya Ukumbi

 
Asante sana kwa taarifa hii, Ekaristi Takatifu inakwenda kuanza kazi na kufanya kitu!. Nashauri CC ya Chadema Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!
Pia nakupongeza sana wewe, ile post ya Tumaini Makene inaku fit sana!.
P
 
vikao vya mkopo hivyo halafu baade kuna watu wanakuja kuhoji matumizi ya pesa za chama yapoje aise...

kila la kheri kamati kuu πŸ’
 
Tunawatakia kila la heri πŸ«±πŸ½β€πŸ«²πŸΎπŸ«±πŸ½β€πŸ«²πŸΎ
 
Kila la kheri,Ngoja niwaambie ndugu zangu,Wacha tusitishe maandamano,tutapata Matokeo mabaya, Huenda tukatekwa!
 
Wangefanyia kikao Kilimanjaro nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…