Hawa wachagga bana ,taarifa inatolewa na mchagga ,mwenyekiti mzee Mbowe atawasilisha mapendekezo uchwara na mjomba wake Lema atakesha X kupiga makelele na kuita watu ni wapumbavu ,hivi cdm akili zimo kweli ?Hii hapa ndio Taarifa yao waliyoisambaza kote Duniani
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana Dar es Salaam katika kikao chake cha kawaida. Kikao hicho cha siku mbili kitaanza kesho Jumanne, Septemba 17 mpaka 18, 2024 Jijini Dar es Salaam. Pamoja na masuala mengine kikao hicho kitajadili na kupokea;