Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwa siku mbili

Hawa wachagga bana ,taarifa inatolewa na mchagga ,mwenyekiti mzee Mbowe atawasilisha mapendekezo uchwara na mjomba wake Lema atakesha X kupiga makelele na kuita watu ni wapumbavu ,hivi cdm akili zimo kweli ?
 

Maoni yangu maandamano yawe kila kata tz nzima taehe 23
 
Hawana jipya!
 
Bado mnatumia Ufipa...si Mna jengo jipya kule Mikocheni? Au mmeishabadili matumizi?
 
Pale Chadema sihitaji cheo chochote, nina hakika ninayoyafanya kwenye chama hiki yamevuka ngazi ya vyeo
Naunga mkono hoja na hiyo ndio ukereketwa na ufurukutwa, unapaswa pia kuwa mzalendo kwa nchi yako kwanza, national patriotism ndipo uje kwenye chama, kama alivyofanya ZZK kwenye ile "bonafide genuine", ukiona chama kinapanga mambo ya ajabu ajabu ya kuhatarisha usalama, unaripoti kunakohusika kabla, kama wazalendo wenu walivyoripoti maandamano yakazuiwa!. Nchi kwanza, vyama baadae!.
P
 
Uzalendo haulazimishwi, ni Wito tu , na Zitto si Mzalendo wa Kuigwa kiasi cha mimi kufuata mwenendo wake.

Ombi Maalum, Msiniteke kwa sababu ya misimamo yangu hapa JF, Siasa siyo Uadui

Andiko lako lililenga kunijulisha jambo fulani, nimeelewa.
 
Hofu yangu wanaweza kuwekwa chini ya ulinzi na kuwekwa sero kwa kisingizio cha kupanga maandamano yaliyopigwa marufuku.
 
Andiko lako lililenga kunijulisha jambo fulani, nimeelewa.
k
Asante sana kwa uelewa wako, watu wenye uelewa wa kiwango hicho ndio wataisaidia Chadema kuimarika, nyumbu hawawezi kabisa kuisaidia Chadema katika zama hizi za digital era, dunia hii ya kiganjani na the world of information power watu bado wanapanga mambo fulani wakidhani...
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…