Kamati Kuu ya CHADEMA, mkiteua wabunge wa Viti Maalumu kuingia Bungeni, mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana

Ruzuku za ccm zaidi ya billion kwa mwez wamefanya kitu gani?

Chadema ruzuku yao ni 250milion kwa mwez na ccm ni bilion moja plus

Unauliza mwenye pesa ndogo amefanya nn why usiulize mwenye pesa nyingi?
Hoja kama hizo za utetezi ndizo zimeungiza ushindani. Nguvu mnayoitumia humu JF na mitandao ya kijamii kuishambulia Serikali mkafanya hivyo kwa viongozi wa vyama upinzani, hakika vitaimarika kisiasa
 
Hoja kama hizo za utetezi ndizo zimeungiza ushindani. Nguvu mnayoitumia humu JF na mitandao ya kijamii kuishambulia Serikali mkafanya hivyo kwa viongozi wa vyama upinzani, hakika vitaimarika kisiasa
Me huwa sishambulii serikali but uwa naongea kitu cha ukweli

Why mtu aulize matumizi ya 250 ya chadema na why asiulize billions za ccm?

Au ww unaonaje hapo
 
Hivi chama si kinapeleka list ya wabunge wa viti maalum tume ya uchaguzi alafu tume ndio watachagua yupi aende bungeni na yupi asiende?

Au mimi ndio sielewi
Sasa hapo unakuwa umeajiriwa na nani? Tume au wananchi?
 
Kwani ya chadema mkuu yanakuuma nini, Bora walitembeza bakuri la kampeni, ccm umetumia gharama KUBWA na mpaka Sasa hatujui vyanzo vya gharama hizo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…