Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ukitazama wajumbe wake na historia zao binafsi kisiasa, ukiwachakata na kuwatathimini kwa kina, utabaini jinsi walivyo wepesi kama karatasi kwenye medani za kisiasa, kwa maana ya kutokua na ushawishi kabisa ndani na nje ya chama hicho.
Wote wanaishi na kufanya siasa kwa kutegemea huruma za wanachama wao tu, kwa hali na mali. Hayupo miongoni mwao anaejitegemea kiuchumi, kisiasa au kijamii. Akiachwa pekeyake hawezi chochote.
Ukimtoa Heche mwenye ushawishi kiduchu sana pale tarime kutokana na kabila lake, wengine wote waliobaki hakuna mwenye uwezo wa hata kumobilise wananchi wa pale kijijini kwao, bali kwa huruma tu wanaweza kuskilizwa na kupuuzwa.
Kwa ujumla,
miongoni mwao hayupo ambae anaweza kushinda udiwani au ubunge mbele ya CCM na vyama vingine vya siasa nchini, hata ikiwa mwenyekiti wa chama taifa atasimamia uchaguzi huo.
ni vizuri kuambiana ukweli 🐒
Mungu Ibariki Tanzania.