Kamati kuu ya CHADEMA ni nyepesi mno kisiasa, inategemea huruma tu za wanachama wake kujiendesha

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Ukitazama wajumbe wake na historia zao binafsi kisiasa, ukiwachakata na kuwatathimini kwa kina, utabaini jinsi walivyo wepesi kama karatasi kwenye medani za kisiasa, kwa maana ya kutokua na ushawishi kabisa ndani na nje ya chama hicho.

Wote wanaishi na kufanya siasa kwa kutegemea huruma za wanachama wao tu, kwa hali na mali. Hayupo miongoni mwao anaejitegemea kiuchumi, kisiasa au kijamii. Akiachwa pekeyake hawezi chochote.

Ukimtoa Heche mwenye ushawishi kiduchu sana pale tarime kutokana na kabila lake, wengine wote waliobaki hakuna mwenye uwezo wa hata kumobilise wananchi wa pale kijijini kwao, bali kwa huruma tu wanaweza kuskilizwa na kupuuzwa.

Kwa ujumla,
miongoni mwao hayupo ambae anaweza kushinda udiwani au ubunge mbele ya CCM na vyama vingine vya siasa nchini, hata ikiwa mwenyekiti wa chama taifa atasimamia uchaguzi huo.

ni vizuri kuambiana ukweli 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Mbona unajitoa ufahamu, ina maana hufahamu kuwa CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani lakini ni kichanga kulinganisha na chama chako cha CCM? umri wa CHADEMA na umri wa CCM ni tofauti. CCM ni chama kikongwe na kina wakongwe wengi
 
sasa gentleman,
chadema kupambana na chama kikongwe kama CCM madhubuti hivi, ndio unakua na kamati kuu nyepesi kiasi hicho kweli?

sasa hao jamaa ukiwatazama kwa ujumla wao, wanaweza kufanya nini cha maana kisiasa humu nchini?🐒
 
sasa gentleman,
chadema kupambana na chama kikongwe kama CCM madhubuti hivi, ndio unakua na kamati kuu nyepesi kiasi hicho kweli?

sasa hao jamaa ukiwatazama kwa ujumla wao, wanaweza kufanya nini cha maana kisiasa humu nchini?
 
sasa gentleman,
chadema kupambana na chama kikongwe kama CCM madhubuti hivi, ndio unakua na kamati kuu nyepesi kiasi hicho kweli?

sasa hao jamaa ukiwatazama kwa ujumla wao, wanaweza kufanya nini cha maana kisiasa humu nchini?
 
Ukitazama wajumbe wake na historia zao binafsi kisiasa, ukiwachakata na kuwatathimini kwa kina, utabaini jinsi walivyo wepesi kama karatasi kwenye medani za kisiasa, kwa maana ya kutokua na ushawishi kabisa ndani na nje ya chama hicho.

Wote wanaishi na kufanya siasa kwa kutegemea huruma za wanachama wao tu, kwa hali na mali. Hayupo miongoni mwao anaejitegemea kiuchumi, kisiasa au kijamii. Akiachwa pekeyake hawezi chochote.

Ukimtoa Heche mwenye ushawishi kiduchu sana pale tarime kutokana na kabila lake, wengine wote waliobaki hakuna mwenye uwezo wa hata kumobilise wananchi wa pale kijijini kwao, bali kwa huruma tu wanaweza kuskilizwa na kupuuzwa.

Kwa ujumla,
miongoni mwao hayupo ambae anaweza kushinda udiwani au ubunge mbele ya CCM na vyama vingine vya siasa nchini, hata ikiwa mwenyekiti wa chama taifa atasimamia uchaguzi huo.

ni vizuri kuambiana ukweli 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
So what?
 
Kuna yule mwizi wa magari wa Arusha ndio hamna kitu kabisa, anajua kulalamika tu, hadi kwao walimkataa na sasa hivi kule Machame ndio hakanyagi anaonekana msaliti.
halafu ameconentrate sana kwenye kubeti yeye na heche, licha ya kua betting ilimfilisi heche pension yote ya ubunge 🐒
 
Lakini bila ya policcm na kuwatumia tume huru ya uchaguzi hamna uwezo wa kushindana kwemye sanduku la kura.
 
halafu ameconentrate sana kwenye kubeti yeye na heche, licha ya kua betting ilimfilisi heche pension yote ya ubunge 🐒
Mwizi wa magari alimshauri Mwenyekiti Makelele amuingize yule Mzee mzinzi na muhuni kwenye Kamati Kuu. Mwenyekiti kastuka kamkataa. Yule Mzee ana mikosi kila anapoingia panafeli.
 
yule mzee ana laana ya usaliti, tamaa na uporaji wake za watu,

haaminiki kabisa 🐒
 
Kama mna jiamini mnaweza fanyeni mabadiliko kwenye tume ya uchaguzi alafu nyie fanyeni kampeni ata miezi tano na chadema asifanye kisha itisheni uchaguzi ndio mtajua nyie ni hamna kitu.
 
Wewe unafikiria Chama kitaendeshwa na nani. Chama hakina ruzuku lazima sisi wananchama tukisimamie kwa nguvu zetu zote.
 
Back
Top Bottom