rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
PanadolChanjo wamepewa watu million 17 na walioathirika hawafiki 400!! Below 0.00% kma tu ambavyo hta tukiwapa Insulin watu laki 1 huwezi kosa watu hta buku watakaopata side effects.
Au mwenzetu tuambie ni dawa gani haina side effects kwa walau 1% ya watumiaji wote.
We bwege, tuko kwenye msiba wa kitaifa tumia lugha ya stahaChama cha majizi ya kura mtakutana huku jizi kuu likiwa halipo!
Wewe je?Muanze kuvaa barakoa sasa. Mkishupaza shingo shauri yenu
Sahau ..... Kale kautaratibu kao CCM ka mgawanyo wa udini katamuangusha. Ni muda ya kumwekea mwana CCM halisi... Most probably ni Mwenyekiti wa zamani wa vijana, Emanuel Nchimbi, kama vile Kigogo anavyodai.Bashiru kuwa VP.
Psychiatric disorder will kill you.... kumuattach Samia bila reason inathibitisha hilo....
Imeisha hio watani zanguHutujui wewe naona.
Hata nafasi nyeti afai atatuletea itikadi za jiwe,vipi presida akifarki si tunarudi kulekule tulipotoka.Bashiru haingii tena yeye kabaki na Makamu wa Rais,
Sema Kikao hicho wakaribishwe Wazee wa Chama kama J. Kikwete, A. Kinana, Mzee Yusuf Makamba ndipo jina litatoka zuri kuliko kumkaribisha Bashiru huenda ana majina.
Kasome kasha lake mfano hyo Amoxicillin imeandikwa kabisa side effects. Kiufupi kila dawa duniani ina madhara ya muda mrefu.Panadol
amoxylin
fragil
Hawezi yuleBashiru kuwa VP.
Kwa hiyo aliagizwa atamke siku saba pungufu kinyume na sheria na jeshi sio? Basi anaendeshwa na ataendelea kuendeshwa akishindwa wanamweka pembeni.Wanajeshi (JWTZ) Ndio wame sema kuwa Ni siku 14 .hizo 21 Ni za ccm
Mawazo ya kidini ondosha hukoNashauri Makamu wa Rais awe Mkristo Mkatoliki na Waziri Mkuu awe Mkristo Mprotestanti au Makamu wa Rais awe Mkristo Mprotestanti na Waziri Mkuu awe Mkristo Mkatoliki.
Waziri Mkuu awe Mkenda au Kimei kuendana na kama Makamu wa Rais atakuwa Mprotestanti au Mkatoliki.
Kabudi anaweza kuwa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu anaweza kuwa Mkenda.
Au Lukuvi anaweza kuwa Makamu wa Rais na Kimei akawa Waziri Mkuu.
Au combination nyingine nzuri za Makamu wa Rais Mkatoliki na Waziri Mkuu Mprotestanti au Makamu wa Rais Mprotestanti na Waziri Mkuu Mkatoliki.
Bunge ndio liwe uwanja mkuu wa kufanya maamuzi haya, kwasababu uwiano wa kidini ndani ya Kamati Kuu ya CCM, hauendani na hali halisi nchini.
Halafu in the future, baada ya Rais Samia kumaliza vipindi vyake vya uongozi, tujaribu kuwa na Rais Mprotestanti, kwasababu Tanzania haijawahi kuwa na Rais Mprotestanti.
Ushauri huu usipofuatwa hakuna tatizo lolote. Maisha yanaendelea kwa amani na utulivu.
We bwege, tuko kwenye msiba wa kitaifa tumia lugha ya staha
Tuko msibani.Wakati wapinzani wanauwawa ili ccm ikae madarakani kwa shuruti, ulitumia lugha ya staha?
Mungu hapendi dhuluma wala hapokei rushwa.....!!!Chawa wa magu wanateseka, imeandikwa ole wake amtumainia mwanadamu. Mitano tena ikawa miezi mitano
Kwendeni zenu! Bado tupo kwenye maombolezo msianze ulafi wa kutafutiana vyeo!!Prof Assad huyu mtu msisahau katika top layer za uongzi serikalini, anafaa sana
Wazungu wenyewe wameamua kusitisha pamoja na WHO kuioigia debe!!Chanjo wamepewa watu million 17 na walioathirika hawafiki 400!! Below 0.00% kma tu ambavyo hta tukiwapa Insulin watu laki 1 huwezi kosa watu hta buku watakaopata side effects.
Au mwenzetu tuambie ni dawa gani haina side effects kwa walau 1% ya watumiaji wote.
Tuwekee hiyo Sheria ya mazishi hapa!!Sheria ya mazishi ya viongozi inasema kifo cha makamu wa rais akiwa yuko ofisini maombolezo ni siku 14 lakini kwa Rais aliyeko madarakani ni siku 21. Je, hayati Dr. Magufuli alikuwa makamu wa rais?
Nchi haiwezi kusimama, lazma maisha yaendelee tu dogo ijapo tunaomboleza, lazma tujue tunaendaje mbele..Kwendeni zenu! Bado tupo kwenye maombolezo msianze ulafi wa kutafutiana vyeo!!
14daysKwa hiyo aliagizwa atamke siku saba pungufu kinyume na sheria na jeshi sio? Basi anaendeshwa na ataendelea kuendeshwa akishindwa wanamweka pembeni.
Karma is as equal to throwing a stone in sky and drfits down by gravitational force. Karma is not like smoke rising in sky that does not come down.. Karma is a revolving barrel gun that kills the killer alike without mercy.
Do not forget the Elites and Factionalism Class who decide who is to be who, where, when and for what purpose over s specified period of time.