Mimi nipo sawa tu Mkuu ila najua binadamu hayuko aliyekamilika ndio maana nikasema hiyo ACT ya Mazishi ilisema viongozi wazikwe Dodoma, ila imebadilishwa
sasa Leo tena Zanzibar imeongezeka kwa hiyo Mazishi ni Alhamis huko Chato
Dar na Dodoma wapo palepale
Mungu ampenguvu Mama Samia Suluhu Hassan hasa katika kipindi hiki cha ugeni wake ila atatuongoza vizuri sana