Uchaguzi 2020 Kamati ya amani yaazimia kuwe na siku tatu za kufunga ili kuombea uchaguzi upite kwa amani

Uchaguzi 2020 Kamati ya amani yaazimia kuwe na siku tatu za kufunga ili kuombea uchaguzi upite kwa amani

Hivi ni kwanini hao viongozi wa dini wanakwepa na kuogopa kuongelea, kutetea au kuombea haki?
 
Kuna kamati ya amani isiyopenda kusikia neno haki?

Hiyo ni kamati ya kinafiki kutoka CCM!
 
Kamati ya Roho Mbaya mkoa wa Singida imezimia kufunga kwa siku 3 ili kuunga mkono matendo yanayofanywa na Chama cha wenye roho Mbaya.
 
Binafsi huwa nawachukulia hao viongozi wa dini kama genge la wanafiki na wahuni wa kidini. Ingefaa zaidi kama wangezomewa, kuchapwa bakora au kupigwa mawe na waumini wao.

Hao jamaa wameharibu heshima nzima ya dini zetu, leo waumini wa dini wanaonekana kama watu wanaopoteza muda kuwashibisha viongozi wao wenye njaa kali na tamaa kupitiliza.
 
Kuna watu wanafiki dunia hii, na hukumu ya Mungu itawashukia tu Hakuna namna.
 
WATANZANIA nadhani kuja haja ya kusali pamoja na viongozi wetu na tukumbuke kuna maisha baada ya uchaguzi

Hao viongozi wa dini ni wahuni tu, uchaguzi unachezewa wazi wazi wako kimya, kisha wanajifanya wanaomba amani. Upuuzi mtupu.
 
WATANZANIA nadhani kuja haja ya kusali pamoja na viongozi wetu na tukumbuke kuna maisha baada ya uchaguzi

Tutasali na wanaotaka haki. Katu hatutakuwa na ushirika na wanafiki!
 
Zikiwa zimesalia takribani siku nne tu kuelekea siku ya kupiga kwa ajili ya kumpata kiranja Mkuu wa taifa letu pamoja na wawakilishi wetu katika mjengo wa kutunga sheria, kuna viashiria kadhaa vinavyojionesha kutaka kupoka amani na utulivu ambao watanzania tumekuwa nao kwa miaka mingi sana.

Sasa naomba nitoe rai kwa kikundi chetu kinachojulikana kama "Kamati ya kusimamia amani hapa nchini, kisimamie misingi ya kuundwa kwake na kumkea kila anayekwenda kinyume na misimgi ya uwepo wa kamati hiyo bila kupepesa macho wala kumfumbia macho yeyote yule!

Kwani kinyume na hapo, hayo majoho yenu yasije kuwa chukizo mbele za macho ya Mungu, Watanzania na hata ulimwengu mzima.

Mimi nimetimiza wajibu wangu!

Mungu atusimamie, tuvuke salama!
 
Back
Top Bottom