Ukijibiwa kuwa wewe ni mpumbavu usije chukia,miezi michache tu imepita ulikua umebanwa na Rais kibwetere na hukuongea chochote,sasa kidogo freedom of press ipo nchini na wewe unajifanya shujaa!tuendeleee kulalama humu .Vipi, ikitokea Rais mjinga Kama kibwetere!??
Akatufungia ndani Ili atuchomee moto ndani?!
Tuendelee kutii tu!!! Hizo directions za kiongozi wetu.
Mh!?
Maswali gani anayoyauliza ambayo yamekosa majibu,andika hapa chini swali moja tuKwani serikali wanapata shida gani kumjibu maswali yake?
Mbona ku sign hospital huwa ni kawaida ka unafanyiwa operation so acheni ushamba wakusema ku sign hyo consent form ya chanjo kuwa dawa ina madharaTusubiri kesho,chanjo is very clear haina data tosha za clinical trials na ndo maana Una sign chochte kikupatacho is upon yourself,kuna vaccine ngap zinapita huhtaj hazijaw na utaratibu na zina clear data,chanjo haipingwi Ila kuna mantiki cariha,let's wait for good
Hii ni drama tu.Kwa msomaji wa Biblia au mtu yoyote aliesikia habari za Yesu, bila shaka atakuwa amesikia habari au visa vya Yesu kutoa majibu kwa wafuasi wake, majibu yaliyokuwa yakiwafanya watu kubaki wanashangaana kama sio kutawanyika au kubaki midomo wazi na wakati mwingine kujiona wajinga.
Rejea kisa cha mwanamke aliefumaniwa na watu kutaka kumpiga mawe, habari ya kaisali na ile ya wafuasi wake kumtafuta Yesu na majibu aliyowapo.Hayo yakiwa kwa uchache tu.
Kwa wasiofahamu habari za Yesu, kisa kimojawapo ni hiki hapa chini:
Yohane 8 | BHN Bibilia | YouVersion
Japo simkubali sana Askofu Gwajima, lakini naamini atawashangaza wajumbe wa hiyo kamati kwani ni wazi Gwajima hana kosa na zaidi Gwajima hayuko Bungeni kwasababu ana shida na hela ya ubunge.
I wish mahojiano yangekuwa live.
Hata hivyo, kwa majibu watayopewa, watahadithiana na tutayajua.
Tusubiri.
RAISI was Tanzania hashitakiki popoteGwajima anapinga msimamo wa serikali halali,ni UAMUZI wa serikali kuwa covid 19 ipo na watanzania wapate vaccine jab ila kwa HIARI yao,sasa wewe kutumia nyumba za ibada na kutamka kuwa waumini wako hawatachanja vaccine ni kupingana na government's of the day,na kama Mr.Gwajima hapendi chanjo hiyo ni haki yake pia alikua na haki ya kuipeleka serikali mahakamani kupinga hizi chanjo.Nchi ina Rais mmoja na ndiye anayetoa directions nchi iende wapi,hukubaliani nayo nenda mahakamani.msimamo wangu binafsi watanzania wenzangu go out there and get a jab,pls do that mimi tayari nimepata jab.
Ndio maana wewe middle class unaendelea kulalama humu na no actions unaweza chukua kisa woga wako na njaa ya tumbo,KATIBA mpya ni muhimu ambayo ita keep on check madaraka ya no 1,....next time take your time kujibu hoja maana ulichokiandika hapo hakisomeki vema ,spelling errors nyingi mnoRAISI was Tanzania hashitakiki popote
Na kisheria sijui kosa lake ni lipi.
Siyo kwaakili kisoda za Ndugai na jopo lake Gwajima is miles ahead usijifariji nduguPaso alienda kuhojiwa anaujua mziki wake, so msimpe bichwa huyo gwajizo
Kwa kupata kwako hizo jabs sisi tumeponaGwajima anapinga msimamo wa serikali halali,ni UAMUZI wa serikali kuwa covid 19 ipo na watanzania wapate vaccine jab ila kwa HIARI yao,sasa wewe kutumia nyumba za ibada na kutamka kuwa waumini wako hawatachanja vaccine ni kupingana na government's of the day,na kama Mr.Gwajima hapendi chanjo hiyo ni haki yake pia alikua na haki ya kuipeleka serikali mahakamani kupinga hizi chanjo.Nchi ina Rais mmoja na ndiye anayetoa directions nchi iende wapi,hukubaliani nayo nenda mahakamani.msimamo wangu binafsi watanzania wenzangu go out there and get a jab,pls do that mimi tayari nimepata jab.
Brainwashed hao wasikuchanganye wasubiri booster zao zipo njianiWatanzania mnavyojua kudaka misamiati ya kibeberu hamjambo. Eti go get a "jab", nadhani baada ya hiyo utaenda pia kupata "booster shot".
Maswali ya Gwajima ndyo Yale Yale aliyoongea mollel labda aanze Kwanza kututhibitishia huyo naibu waziriSasa hoja zake azilete ushahidi wa ki science na mabara aliyo chunguza, tafiti hupingwa kwa tafiti za ki science sio kuongea ongea kuhadaa wajinga wenzake
Mku nafikiri shida sio chanjo lakini watu wanajiuliza, ile fomu ya kuweka sahihi yako kwamba kwa lolote litakalotokea baada ya mtu kupata chanjo, asimulaumu mtu yoyote nafikiri ndo inawapa wasiwasi. Unajua kwamba mwananchi wa kawaida hana uwezo kujua na kuhakiki usalama wa chanjo. Serikali yetu ndo ina watalamu/machineries na Govt Depts kama TBS etc. Hapo ndo wanabaki njia panda.Gwajima anapinga msimamo wa serikali halali,ni UAMUZI wa serikali kuwa covid 19 ipo na watanzania wapate vaccine jab ila kwa HIARI yao,sasa wewe kutumia nyumba za ibada na kutamka kuwa waumini wako hawatachanja vaccine ni kupingana na government's of the day,na kama Mr.Gwajima hapendi chanjo hiyo ni haki yake pia alikua na haki ya kuipeleka serikali mahakamani kupinga hizi chanjo.Nchi ina Rais mmoja na ndiye anayetoa directions nchi iende wapi,hukubaliani nayo nenda mahakamani.msimamo wangu binafsi watanzania wenzangu go out there and get a jab,pls do that mimi tayari nimepata jab.
Pasco ana njaa Gwajima hana njaaPaso alienda kuhojiwa anaujua mziki wake, so msimpe bichwa huyo gwajizo
Jibu mojawapo tayari kalitoa ambalo lina ushahidi wa sauti na maneno ya waziri wa afya na naibu wake. Wakati wa JPM waliwaaminisha wananchi kuwa chanjo hazifai na ni hao tena wakati wa Suluhu wanasema chanjo ni nzuri, watu wakachanje. Ni vigumu kuwaamini watu walewale waliokataa chanjo na sasa wanawaaminisha wananchi kuwa chanjo ni nzuri. Tayari amesema kuwa ilifaa waondolewe, wawekwe wengine kwa kuwa inakuwa katika logic ya kawaida UWONGO(FALSE) na UKWELI(TRUE) haiwezi kuwa ni KWELI na ikiwa umesemwa na mtu yule yule. Kuaminika kwake ni vigumu!!!.Kwa msomaji wa Biblia au mtu yoyote aliesikia habari za Yesu, bila shaka atakuwa amesikia habari au visa vya Yesu kutoa majibu kwa wafuasi wake, majibu yaliyokuwa yakiwafanya watu kubaki wanashangaana kama sio kutawanyika au kubaki midomo wazi na wakati mwingine kujiona wajinga.
Rejea kisa cha mwanamke aliefumaniwa na watu kutaka kumpiga mawe, habari ya kaisali na ile ya wafuasi wake kumtafuta Yesu na majibu aliyowapo.Hayo yakiwa kwa uchache tu.
Kwa wasiofahamu habari za Yesu, kisa kimojawapo ni hiki hapa chini:
Yohane 8 | BHN Bibilia | YouVersion
Japo simkubali sana Askofu Gwajima, lakini naamini atawashangaza wajumbe wa hiyo kamati kwani ni wazi Gwajima hana kosa na zaidi Gwajima hayuko Bungeni kwasababu ana shida na hela ya ubunge.
I wish mahojiano yangekuwa live.
Hata hivyo, kwa majibu watayopewa, watahadithiana na tutayajua.
Tusubiri.
Hamna aliyewahi shindana na serikali akawa salama duniani koteSiyo kwaakili kisoda za Ndugai na jopo lake Gwajima is miles ahead usijifariji ndugu
Hamna mkate mgumu mbele ya chai kakobe mwenyewe Ali surrender tena yeye hakuwa na sinema chafu za uzinifu
Ni vizuri sana kuwa na msimamo thabiti.Hakuna wa kujibu hoja za Askofu Gwajima. Hata wakikesha na madesa bado ni ngumu kusimama na mtu anayesimamia anachoamini.