Kamati ya Bunge itakayomuhoji Gwajima ijiandae kukutana na majibu yatakayowaacha wakiangaliana

Kamati ya Bunge itakayomuhoji Gwajima ijiandae kukutana na majibu yatakayowaacha wakiangaliana

Ule wito wa kuhojiwa unaletwa ki samansi, kama huna nauli, unakopa dukani kwa Mangi, baada ya mahojiano, unakabidhi risiti za safari, unarejeshewa nauli yako na kulipwa per diem ya 3 days.

Ila ukishindwa kuja, kutokana na kukosa nauli, wataahirisha kukuhoji, watakutumia watu na kukupatia usafiri wao, na ukifika Dodoma, watakuhifadhi wao, mpaka siku ya mahojiano.

Hivyo una hiyari uende mwenyewe au ufuatwe upelekwe.
P
Mkuu nilisikia eti Ndugayi alikuzuia hata kuvaa suti!
 
Kwa msomaji wa Biblia au mtu yoyote aliesikia habari za Yesu, bila shaka atakuwa amesikia habari au visa vya Yesu kutoa majibu kwa wafuasi wake, majibu yaliyokuwa yakiwafanya watu kubaki wanashangaana kama sio kutawanyika au kubaki midomo wazi na wakati mwingine kujiona wajinga.

Rejea kisa cha mwanamke aliefumaniwa na watu kutaka kumpiga mawe, habari ya kaisali na ile ya wafuasi wake kumtafuta Yesu na majibu aliyowapo.Hayo yakiwa kwa uchache tu.

Kwa wasiofahamu habari za Yesu, kisa kimojawapo ni hiki hapa chini:

Yohane 8 | BHN Bibilia | YouVersion

Japo simkubali sana Askofu Gwajima, lakini naamini atawashangaza wajumbe wa hiyo kamati kwani ni wazi Gwajima hana kosa na zaidi Gwajima hayuko Bungeni kwasababu ana shida na hela ya ubunge.

I wish mahojiano yangekuwa live.

Hata hivyo, kwa majibu watayopewa, watahadithiana na tutayajua.

Tusubiri.
Huko kwenye mahojiano ni dunia nyingine kabisa, si sehemu salama abadani kwa ahojiwaye. Askofu ataleta majibu, tuwe wapole & wavumilivu kwa muda mfupi tuu
 
Lowasa huyo mdebwedo au hujui kuwa Gwajima ndiye aliyemshika mkono Lowasa kwenda Chadema? Kakobe huyo naye ameshalegea tayari. CCM na Serikali yake hawamuwezi Gwajima.
Ni hivi huyu Gwajima naye Ni mdebwedo tu,Kama alitepeta kwa Pengo usitegemee kuwa kwa Hili hatatepeta
 
Mku nafikiri shida sio chanjo lakini watu wanajiuliza, ile fomu ya kuweka sahihi yako kwamba kwa lolote litakalotokea baada ya mtu kupata chanjo, asimulaumu mtu yoyote nafikiri ndo inawapa wasiwasi. Unajua kwamba mwananchi wa kawaida hana uwezo kujua na kuhakiki usalama wa chanjo. Serikali yetu ndo ina watalamu/machineries na Govt Depts kama TBS etc. Hapo ndo wanabaki njia panda.
Nimekuelewa mkuu ,kweli ukitaka kuua taifa ua elimu hizi consent form ni za kawaida na dunia yote inafanya hivi,mbona kwenye op za kawaida tunaweka sahihi zetu now why kwa hizi jab?
 
Ule wito wa kuhojiwa unaletwa ki samansi, kama huna nauli, unakopa dukani kwa Mangi, baada ya mahojiano, unakabidhi risiti za safari, unarejeshewa nauli yako na kulipwa per diem ya 3 days.

Ila ukishindwa kuja, kutokana na kukosa nauli, wataahirisha kukuhoji, watakutumia watu na kukupatia usafiri wao, na ukifika Dodoma, watakuhifadhi wao, mpaka siku ya mahojiano.

Hivyo una hiyari uende mwenyewe au ufuatwe upelekwe.
P
Unapewa per diem kabisa!
Nifanyeje ili nikahojiwe?
 
Kwa sababu swala lake linahusu afya za watu kitu ambacho ata ww ungeitaji ufafanuzi zaid ili ujue yup yupo sahh na yupi mpotoshaji
Fafanuzi zimetolewa sana na zinaendelea kutolewa. Ila kuna kundi ambalo halitakaa lielewe hata liletewe wataalamu kutoka Mars.
Tanzania kama nchi tunalazimika kufuata maelekezo kutoka vyanzo rasmi. Yeye anafuata maelekezo kutoka kwa wazee wa imani kali.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Gwajima anapinga msimamo wa serikali halali,ni UAMUZI wa serikali kuwa covid 19 ipo na watanzania wapate vaccine jab ila kwa HIARI yao,sasa wewe kutumia nyumba za ibada na kutamka kuwa waumini wako hawatachanja vaccine ni kupingana na government's of the day,na kama Mr.Gwajima hapendi chanjo hiyo ni haki yake pia alikua na haki ya kuipeleka serikali mahakamani kupinga hizi chanjo.

Nchi ina Rais mmoja na ndiye anayetoa directions nchi iende wapi,hukubaliani nayo nenda mahakamani.msimamo wangu binafsi watanzania wenzangu go out there and get a jab,pls do that mimi tayari nimepata jab.
Shida ipo kwenye kulazimishana kuchanja chanjo ambayo haikufanyi usiambukizwe na kuuawa na corona!
Yeye anaongea na familia yake kama baba!
Kwani ww huwa huongei na familia yako kuhusu msimamo wako? Unaacha tu kila mmoja ajifanyie yake?
Kama msimamo wako ni kuchanja utawaeleza hivyo, wanaostahiri kuchanja wachajwe?
Lakini kama msimamo wako ni wa 'la', basi si ajabu ukapiga marufuku kwa wanafamilia yako wasichanje!
Hivyo ndivyo alivyofanya Gwajiboy, ingawa yy hakupiga marufuku bali aliwashauri tu!
Mtazamo wako ni finyu sana ukizingatia chanjo yenyewe haikukingi kihivyo 😜!
 
Gwajima anapinga msimamo wa serikali halali,ni UAMUZI wa serikali kuwa covid 19 ipo na watanzania wapate vaccine jab ila kwa HIARI yao,sasa wewe kutumia nyumba za ibada na kutamka kuwa waumini wako hawatachanja vaccine ni kupingana na government's of the day,na kama Mr.Gwajima hapendi chanjo hiyo ni haki yake pia alikua na haki ya kuipeleka serikali mahakamani kupinga hizi chanjo.

Nchi ina Rais mmoja na ndiye anayetoa directions nchi iende wapi,hukubaliani nayo nenda mahakamani.msimamo wangu binafsi watanzania wenzangu go out there and get a jab,pls do that mimi tayari nimepata jab.

Naunga mkono chanjo naanze na hilo.

Pili nitoe masikitiko yangu kuwa nchi hii kuwa na msimamo tofauti na rais ni kosa this is not right.

Freedom of expression is paramount

Yote haya aliyataka mwendazake lakini.
 
Gwajima anapinga msimamo wa serikali halali,ni UAMUZI wa serikali kuwa covid 19 ipo na watanzania wapate vaccine jab ila kwa HIARI

Hiki ndicho kamati hii ya Bunge ili la Job Ndugai ilichomhoji leo au unajiandikia tu..?
yao,sasa wewe kutumia nyumba za ibada na kutamka kuwa waumini wako hawatachanja vaccine ni kupingana na government's of the day,

Wewe umekwenda shule sawasawa kweli? Ni nini hiki ulichoandika hapa...?
na kama Mr.Gwajima hapendi chanjo hiyo ni haki yake pia alikua na haki ya kuipeleka serikali mahakamani kupinga hizi chanjo.

Hujui kuwa Mungu Yehova ndiyo mahakama ya juu kabisa?
Nchi ina Rais mmoja na ndiye anayetoa directions nchi iende wapi,hukubaliani nayo nenda mahakamani.

Mungu Yehova ndiye mahakama ya juu zaidi kuliko zote mbinguni na duniani...!!
msimamo wangu binafsi watanzania wenzangu go out there and get a jab,pls do that mimi tayari nimepata jab.

Umeandika kitu gani hapa? Unajua hoja ya mjadala ni nini? Mbona unaleta mambo ya "jab, jab, jab..?"
 
Back
Top Bottom